Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito
Kubeba mimba na kuzaa mtoto ni tamanio la kila mwanamke japo huwa ni safari yenye changamoto mbalimbali. Maombi yangu kwako ewe mama mjamzito Mungu akutangulie ujifungue salama. Unapojifungua salama, safari isiiishie hapo bali endelea kuwaombea na wamama wengine nao wajifungue salama. Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za afya, imejitahidi sana kupunguza […]
Dalili Tatu za Hatari Kwenye Kipindi cha Ujauzito Read More »