LATEST ARTICLES

mapambano dhidi ya ukoma
Mapambano Dhidi ya Ukoma Tanzania: Mapendekezo ya Kimkakati
Changamoto zinazobaki katika mapambano dhidi ya ukoma si za kipekee kwa Tanzania. Nchi nyingi zilizokuwa na mzigo mkubwa wa ugonjwa huu zimewahi kukabiliana na changamoto kama za utambuzi wa mapema, contact...
Baba Mwenye Ukoma
Ugonjwa wa Ukoma Tanzania: Kutoka Kudhibiti Mpaka Kutokomeza
Safari ya Tanzania katika kupambana na ukoma ni mfano mzuri wa mafanikio kwenye afya ya jamii. Miaka ya nyuma, ugonjwa huu ulileta ulemavu mkubwa, unyanyapaa, na changamoto nyingi za kijamii. Hali...
Madhara ya kujitibu kwa Google Searches
Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu
Watu wengi sana tuna Google dalili tulizonazo kabla na baada ya kwenda hospitali, bila shaka hii inaweza kuwa njia ya kuokoa muda, lakini kwa upande mwingine wa shilingi, hatua hii ni hatari kwa Afya yako. Fikiria...
Mgonjwa wa TB Tanzania
Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa?
“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana”  Hiyo...
mm (1)
Nani Mwenye Jukumu la kudhibiti Malaria Kwenye Jamii Yangu?
“Kama Baba Mateso angekuwa ananunua dawa ya mbu ya kuchoma mara kwa mara, familia hii tusingekuwa na Malaria!”  Mama Mateso akiwa analalamika.  Unatamani umuulize swali: Jukumu la kukinga...
kupima malaria kabla kuanza dozi
Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu
Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.  Ninakuandikia wewe ambaye labda jana au wiki iliyopita umehisi...
dalili hatari za malaria
Dalili Kali za Malaria Zinazohitaji Huduma kwa Haraka
Kuna baadhi yetu tunapohisi dalili za malaria, tunakimbilia katika maabara kupima na kwenda kwenye maduka ya dawa kwa ajili ya kupata dawa mseto.  Ni kawaida ya wengi kutafuta tiba mbadala ya...
Bima ya Afya kwa Wote
Kuanzishwa kwa “Bima ya Afya kwa Wote” Tanzania: Itanisaidiaje?
Tanzania imeanza utekelezaji rasmi wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (UHI Act, 2023)  mwanzoni mwa mwaka huu wa 2026. Haya ni mapinduzi katika sekta ya afya yanayolenga kumgusa kila mtanzania. Kabla...
motorcycle riders
Jinsi Ukosefu wa Elimu ya Dharula Unavyogharimu Maisha ya Watanzania
Kila mtu atakufa, hilo halina ubishi kabisa. Swali ni kwamba, utakufa lini? Utakufaje ? Katika mazingira yapi? Je, unaamini kuna vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa elimu?  Leo hii ukipatwa na dharula ya mtu wako kuanguka ghafla au ukikutana na mtu amedondoka ghafla utachukua hatua gani?...
emergency care in tanzania
"Lisaa la Dhahabu": Siri ya Kuokoa Maisha Unapopata Dharura ya Kiafya
Sekunde chache zinaweza kutofautisha kati ya kupona na kupoteza maisha. Wakati unapokabiliwa na dharura kama ajali, kiharusi (stroke), au shambulio ghafla la moyo, kuna muda muhimu unaoitwa “Saa la Dhahabu”. Hizi...
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17
en_USEN