Know Your Health with a Beautiful Smile.

Welcome!

Our blog aims at giving you quality health education on various daily-life challenges.

We are certified
Waandishi wetu wote wana leseni ya kufanya matibabu na kutoa ushauri tiba.

"A fit body, a calm mind, a home full of love. These things cannot be bought - you have to work for them."
Alicia Phillbert,
Non-Executive Director

LATEST ARTICLES

mapambano dhidi ya ukoma
Mapambano Dhidi ya Ukoma Tanzania: Mapendekezo ya Kimkakati
Changamoto zinazobaki katika mapambano dhidi ya ukoma si za kipekee kwa Tanzania. Nchi nyingi zilizokuwa na mzigo mkubwa wa ugonjwa huu zimewahi kukabiliana na changamoto kama za utambuzi...
Read More
Baba Mwenye Ukoma
Ugonjwa wa Ukoma Tanzania: Kutoka Kudhibiti Mpaka Kutokomeza
Safari ya Tanzania katika kupambana na ukoma ni mfano mzuri wa mafanikio kwenye afya ya jamii. Miaka ya nyuma, ugonjwa huu ulileta ulemavu mkubwa, unyanyapaa, na changamoto nyingi za...
Read More
Madhara ya kujitibu kwa Google Searches
Matibabu ya Google: Fahamu Hatari za Kutegemea Google Search Kwenye Kujitibu
Watu wengi sana tuna Google dalili tulizonazo kabla na baada ya kwenda hospitali, bila shaka hii inaweza kuwa njia ya kuokoa muda, lakini kwa upande mwingine wa shilingi, hatua hii...
Read More
Mgonjwa wa TB Tanzania
Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa?
“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana”  Hiyo...
Read More
mm (1)
Nani Mwenye Jukumu la kudhibiti Malaria Kwenye Jamii Yangu?
“Kama Baba Mateso angekuwa ananunua dawa ya mbu ya kuchoma mara kwa mara, familia hii tusingekuwa na Malaria!”  Mama Mateso akiwa analalamika.  Unatamani umuulize swali:...
Read More
kupima malaria kabla kuanza dozi
Umuhimu wa Kupima Malaria Kabla ya Kuanza Matibabu
Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.  Ninakuandikia wewe ambaye labda jana...
Read More
About Us

Our mission is to educate African communities using a friendly language.

More than 45 percent of adults in African countries lack proper education about their health. It has become a tradition to run to the pharmacy when faced with small health problems.

But, how cool would it be if there was a free solution to the various problems of our bodies? A solution which is available 24 hours a day!

This is the main reason for our existence. Helping Tanzanians and Africans in general to get the right information about their health, to develop better health habits and make the right treatment decisions after getting sick.

Our writers
Kwa ajili yako, kiganjani kwako, muda wowote.
en_USEN