Jinsi Usingizi Mdogo Unavyoleta Kitambi na Kuongeza Stress
Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi, wengi wetu tunajivunia “kukesha.” Tunakesha tukifanya kazi (kumalizia kazi za ofisini), tukiangalia filamu (“episode moja ya mwisho”), tukicheza game au tukipita kwenye mitandao ya kijamii. Tumeanza kuuona usingizi kama anasa au dalili ya uvivu. Unakuta mtu anasema, “Nililala saa tisa alfajiri,” kana kwamba ni tuzo. Lakini, vipi kama nikikuambia […]
Jinsi Usingizi Mdogo Unavyoleta Kitambi na Kuongeza Stress Read More »










