Weight and Nutrition

fahamu vyakula bora kwa mwanamke katika kipindi cha ujauzito

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito

Kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama anapaswa kuwa anakula vyakula vinavyompatia virutubisho vya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kiafya yanayotakiwa katika mwili wake na pia kwa ajili ya ukuaji bora wa mtoto tumboni mwake.   Vyakula vinavyompatia mama virutubishi vya kutosha katika kipindi cha ujauzito huimarisha afya ya mama na humsaidia mtoto kukua […]

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito Read More »

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6

Wazazi wengi na walezi wa watoto waliokamilisha miezi sita, na wanaotakiwa kuwaanzishia watoto vyakula vya nyongeza, huwa na maswali mengi sana ya vyakula vya kutumia katika kuwalisha watoto wao.   Wengi wao huishia kuogopa kuwapa watoto vyakula vya aina mbalimbali wakihofia labda hawatakua wanafanya kitu sahihi kuwalisha watoto wao vyakula mbalimbali.     Je! Unajua

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6 Read More »

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi

Afya ya uzazi ni swala ambalo limekua likigusa watanzania wengi na katika kufanya kazi kwenye  maeneo ya hospitali ni swala ambalo nimekutana nalo mara kwa mara.     Katika jamii zetu, changamoto za uzazi zimekua zikiongezeka kila siku na kwa kasi kubwa; watu wengi wanahangaika kutafuta suluhisho za aina mbalimbali bila mafanikio. Hii ndio sababu

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi Read More »

Sumu Kuvu: Maana, Madhara na Jinsi ya Kuiepuka

Wakati ninaandika makala ya “Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia“, nilizungumzia utumiaji wa nafaka aina ya mahindi na hapo ndipo nikapata wazo la kuandika makala nyingine itakayokusaidia wewe msomaji kufahamu namna ya kuchagua nafaka salama kwa ajili ya utengenezaji wa unga huo wa uji wa lishe.   Kwa

Sumu Kuvu: Maana, Madhara na Jinsi ya Kuiepuka Read More »

Nutritional flour

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia

Unga wa lishe, katika jamii yetu, umezoeleka kuwa ni unga ambao unatumiwa na watu kwa ajili ya kupikia uji ambacho ni chakula kinachotumiwa na watu wengi – asubuhi au jioni.   Au kama kutakua na mgonjwa, basi hutengenezewa uji ili aweze kupata chakula kinacholika kwa urahisi hasa kwasababu chakula hichi huwa katika hali ya kimiminika.

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia Read More »

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli?

Kuna msemo unasema ‘ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha dunia’, Je ni kweli? Mwanamke ana uhusiano gani na afya ya familia?   Mwandishi maarafu wa Marekani, Zig Ziglar, katika kitabu chake cha “See You at the Top” kuna mahala anasema “The best way to love your children is to love their mother”.   Unaisi aliona nini kwa mwanamke?

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli? Read More »

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini?

Sahani inayofaa ni kitu gani hasa? Hii ni sahani ya mlo ambayo imebuniwa na wataalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani. Unaweza kujiuliza inapatikana wapi sahani hii inayofaa! Je, inamaanisha sahani zetu tunazotumia nyumbani hazifai?   Sahani hii ya mlo unaofaa inakupaswa kuitumia pale unapotaka kula mlo wako wa siku ili uhakikishe

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini? Read More »

en_USEN