Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia
“Hivi punde nimekua nikijisikia hali ya tumbo kujaa gesi na hali hii inaponikuta huwa napoteza hamu ya kula kwa sababu najisikia kua nimeshiba wakati wote . Na pia ninafikiria namna utumbo unaweza kuwa na mabaki ya chakula kinachokua kimemeng’enywa na kusababisha hali ya gesi tumboni.” Nini hutokea hadi kusababisha hali ya tumbo kujaa au […]
Tumbo Kukereketa/Kuvimbiwa: Visababishi na Vyakula vya Kutumia Read More »