Weight and Nutrition

Ni Ukweli Unywaji wa Maziwa Unaweza Kupelekea Saratani ya Kibofu kwa Wanaume?

Leo asubuhi wakati  naelekea katika pilikapilika za hapa na pale nilipata wasaa wa kuperuzi katika kundi moja la WhatsApp ambapo nilikutana na mazungumzo yanayohusu makala iliyoandikwa na BBC ambapo makala hiyo ilisema maziwa yamehusishwa na saratani ya kibofu kwa asilimia 60. Jambo hili lilishtua hisia zangu ambapo ilinifanya nitamani kufanya utafiti kidogo kisha niandike makala […]

Ni Ukweli Unywaji wa Maziwa Unaweza Kupelekea Saratani ya Kibofu kwa Wanaume? Read More »

faida za kutumia mafuta ya samaki

Mafuta ya Samaki: Chanzo, Faida na Matumizi

Kipindi nikiwa mtoto nakumbuka kusistizwa kunywa kijiko cha mafuta ya Samaki, Mama yangu alisisitiza kuwa ni mazuri sana kwa afya. Leo nimekumbuka kipindi hicho na baada ya kusoma masomo yangu ya shahada ya lishe nikagundua faida zilizomo katika mafuta ya samaki. Mafuta ya samaki yana tofauti gani na mafuta ya kawaida? Wengi wetu tukisikia mafuta

Mafuta ya Samaki: Chanzo, Faida na Matumizi Read More »

Vyakula Vinavyosaidia Ngozi Yako Kutozeeka

“Kadri miaka inavyoenda, ndivyo binadamu tunazidi kukua.”   Katika hali ya ukuaji kuna  mabadiliko mbalimbali ya kimwili hutokea na hivyo basi tunatakiwa kuzingatia ulaji bora ili tuwe na afya imara itakayotusaidia kuzuia hali za kupungukiwa nguvu kwa haraka sana.     Hii ni kwa sababu katika vipindi vya uzee kuna mabadiliko mbalimbali ya kimwili hutokea

Vyakula Vinavyosaidia Ngozi Yako Kutozeeka Read More »

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula

Nani yuko nyuma ya bidhaa za vyakula za Essie’s? Kwa majina naitwa Ester Mndeme. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto watatu.   Baba yangu ni fundi seremala aliyejitahidi sana katika kazi za mikono na kufanikiwa kutusomesha mpaka tukafika elimu za juu. Hio ilikuwa ni ndoto yake ambayo ameifanikisha.    Kitaaluma, mimi ni

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula Read More »

Madhara Matano ya Uzito Mdogo 

Mara nyingi tukiongelea uzito watu wengi huangalia uzito mkubwa kama tishio kwenye afya.   Ulishawahi kujiuliza mtu akiwa na uzito mdogo kupita kawaida ina athari gani kwenye afya? Usiumize kichwa sana kwasababu makala hii itakupa majibu ya swahi hilo.    Uzito kiasi gani huesabika kama uzito mdogo? Jibu ni kwamba hakuna uzito maalum unaohesabika kama

Madhara Matano ya Uzito Mdogo  Read More »

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu?

Habari yako mpenzi msomaji?   Najua si jambo geni kusikia swala la upungufu wa damu hasa kwa watoto, wajawazito, pamoja na wasichana walio katika umri wa kuzaa. Kwa wengi wetu imekua ni kawaida  kutafuta namna mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutatua changamoto hii ya upungufu wa damu mwilini hasa tukiamini kwamba vitu kama soda zenye rangi

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu? Read More »

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini?

“Mtoto wangu haongezeki uzito, nifanye nini?”   Hili ni swali ambalo liko katika akili za wazazi wengi wanaojali afya za watoto wao, kipindi ambacho watoto wanakua wananyonya na katika kipindi ambacho watoto wanaanza kutumia vyakula mbadala.    Muhimu ni kufahamu kwamba kipindi ambacho mtoto anakua kunakua na kiasi maalumu cha upandaji wa uzito huu.   

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini? Read More »

Uwezo na Faida za Kitunguu Saumu Mwilini 

Kitunguu saumu, garlic, ni mmea ambao umekua ukizungumziwa kuwa na faida mbalimbali mwilini; baadhi ya faida hizo ni kusaidia kushuka kwa shinikizo la juu la damu (high blood pressure), kusaidia afya ya mfumo wa moyo na mishipa ya damu, na mengine ambayo tutayaona hapo chini.    Leo tutakiangalia kitunguu saumu katika mwanga wa kama kweli kinaweza

Uwezo na Faida za Kitunguu Saumu Mwilini  Read More »

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako

Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi?   Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »

en_USEN