General health

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu

Mnamo July 21, 2022 mtandao wa Centre for Disease Control and Prevention (CDC) nchini Marekani ulitolea ufafanuzi kuhusu maana halisi ya magonjwa sugu.   Ulielezea kwamba, magonjwa sugu ni magonjwa ambayo hukaa mwaka au zaidi na huitaji matibabu endelevu.   Pia huweza kuathiri utendaji wa kawaida wa mtu au vyote kwa pamoja.   Mfano wa […]

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu Read More »

Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde

Uzee ni lazima uje, hauwezi kuwa kijana maisha yako yote. Kuna muda utafika, utazeeka tu!   Lakini swala la muhimu sio kuzeeka, ni utazeeka vipi? Uzee wako utakuwa wa aina gani? Huzuni, maumivu au furaha?   Makala hii inalenga kukuonesha namna ya kuufanya uzee wako kuwa wa furaha pamoja na changamoto zinazojitokeza ukizeeka.   Mtu

Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde Read More »

Fahamu usichokijua kuhusu “Kichaa cha Mbwa”

Ulishawahi kuona mtu mwenye dalili za kichaa cha mbwa? Kama bado, usiombe kuona, itakuathiri kisaikolojia.   Wengi wetu dalili ambayo huwa tunaijua ya kichaa cha mbwa ni ile hali ya kubweka kama mbwa lakini hatujui kwamba hiyo ni dalili ya baadaye kabisa.   Kichaa cha Mbwa (Rabies) ni ugonjwa ambao huwa hauzungumziwi sana lakini naweza

Fahamu usichokijua kuhusu “Kichaa cha Mbwa” Read More »

Social Media: Your Mental Health Vampire

Since 2004 when Facebook was launched by Mark Zuckerberg, new ways for people to socialize were opened. Facebook became so popular to the extent where almost everyone with a smartphone was using it.   Later on WhatsApp, Instagram, X (previous Twitter) and TikTok followed as the other means of social communication.   Research done in

Social Media: Your Mental Health Vampire Read More »

Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake

Afya yako ina mahitaji mengi. Yapo mahitaji muhimu na lazima na yale muhimu lakini sio lazima sana.   Unaweza kuifananisha afya na nyumba. Inajengwa kwa vipimo maalum. Vifaa vya ujenzi wa afya havipaswi kuwa chini ya mahitaji au zaidi ya mahitaji.     “Ngoma ivumayo sana ndiyo hupasuka” ni methali ya kiswahili itumikayo kuonyesha kwamba

Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake Read More »

en_USEN