General health

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako

Katika kutibu ugonjwa kuna njia nyingi, mojawapo (ambayo ni kubwa) ni matumizi ya dawa. Asilimia 90% ya wagonjwa wanapoumwa macho hukimbilia kwenye dawa wakiamini kwamba dawa pekeee ndiyo inaweza au inatakiwa kutibu au kufanya ugonjwa kuwa nafuu.    Bahati mbaya matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu zimechangia kupata madhara mengine kama vidonda vya tumbo, kuvimba […]

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako Read More »

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu

Maumivu ya kisigino na unyayo (plantar pain) ni moja ya changamoto kubwa katika jamii. Tatizo hili lipo sana kwa wanamichezo na wanawake wenye uzito mwingi na vitambi.    Husababishwa na nini? 1. Plantar Fasciitis Hii ni hali ya utando wa chini wa sole ya  mguu, fascia (utando mweupe ambao huunganisha kati ya kisigino na vidole),

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu Read More »

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako

Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi?   Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »

five indicators for a heart failure

Dalili Kuu 5 Zinazoashiria Una Tatizo la Moyo

Mwili wa binadamu umeumbwa na mifumo mbalimbali inayofanya kazi pamoja kuhakikisha wewe unakuwa hai. Katika mifumo hiyo yote moyo ndio kiunganishi kikuu. Nitakosea nikiufananisha moyo wako na injini ya gari? Kama una ufahamu na gari utanielewa.   Moyo na injini ya gari ni kama vinafanya kazi zinazofanana. Bila injini kuwa imara, mafuta na maji kwenye

Dalili Kuu 5 Zinazoashiria Una Tatizo la Moyo Read More »

Jinsi Mtazamo wa Dawa Unavyoweka Afya Yako Hatarini

“Mtazamo ni kama miwani, ukivaa miwani meusi basi dunia na vitu vyake huonekana vyeusi, ukivaa miwani meupe hivyo hivyo mambo yataonekana meupe.” – Dr. Faustine Kamugisha (Priest and Faith Mentor)   Afya yako pia ni mtazamo wako. Mtazamo chanya huleta afya bora, kinyume chake ni afya mbovu. Wewe umevaa miwani ya rangi gani kwenye afya

Jinsi Mtazamo wa Dawa Unavyoweka Afya Yako Hatarini Read More »

Vidonda Vya Kisukari: Vidonda Vibishi Kuwahi Kutokea!

Nilipokuwa sekondari kuna Padri mmoja nilikuwa nikimuona kila siku ana bandeji ya hospitali mguuni, alikuwa anachechemea na hakuwahi kuvaa viatu vya kufunika, bali viatu vya wazi.   Nlipodadisi kwa undani nikaambiwa ana kidonda cha sukari, ndio maana hakiponi haraka. Sikuelewa maana yake kwa wakati huo mpaka nilipokua na kupata elimu ya kutosha kuhusu vidonda vya

Vidonda Vya Kisukari: Vidonda Vibishi Kuwahi Kutokea! Read More »

Chronic Headache: Maumivu Sugu ya Kichwa Yanayopoteza Ladha ya Maisha

“Kichwa changu kikianza kuniuma huwa natamani kufa…nipumzike na hii taabu!” Ulishawahi kusikia kauli kama hiyo?  Embu jaribu kufikiria mpaka mtu anafikia kusema hivyo, anapitia mateso kiasi gani?     Maumivu ya kichwa ya muda mrefu (chronic headache) ni moja ya janga kubwa unaloweza kukutana nalo katika maisha yako; pia ni moja kati ya matatizo yanayowaleta

Chronic Headache: Maumivu Sugu ya Kichwa Yanayopoteza Ladha ya Maisha Read More »

PHOBIA: Hofu Kuu Isiyo na Uhalisia.

Mwaka 2005, wakati nikiwa kidato cha kwanza, nilikuwa kwenye taxi ambayo mimi na wenzangu tuliikodi wakati tunarudi shule.   Kipindi hiko madereva taxi walikuwa wanatujaza sana kwenye gari dogo, wakati mwingine mpaka kwenye buti.   Wakati niko kwenye taxi niligundua kwamba milango ikishafungwa nahisi kama vile sina hewa pamoja na gari kuwa na AC. Nilikuwa

PHOBIA: Hofu Kuu Isiyo na Uhalisia. Read More »

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu

Mnamo July 21, 2022 mtandao wa Centre for Disease Control and Prevention (CDC) nchini Marekani ulitolea ufafanuzi kuhusu maana halisi ya magonjwa sugu.   Ulielezea kwamba, magonjwa sugu ni magonjwa ambayo hukaa mwaka au zaidi na huitaji matibabu endelevu.   Pia huweza kuathiri utendaji wa kawaida wa mtu au vyote kwa pamoja.   Mfano wa

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu Read More »

en_USEN