LATEST ARTICLES
August 15, 2025
Leo asubuhi wakati naelekea katika pilikapilika za hapa na pale nilipata wasaa wa kuperuzi katika kundi moja la WhatsApp ambapo nilikutana na mazungumzo yanayohusu makala iliyoandikwa na BBC ambapo...
August 11, 2025
Jamii ina utaratibu wake wa kufanya pale mtu anapoungua. Wewe unajua upi? Kwenye utamaduni wangu nimekuwa nikiona mtu akiungua anamwagiwa mkojo kwenye sehemu aliyoungua na imekuwa ikiaminika kwamba inasaidia....
July 4, 2025
Kipindi nikiwa mtoto nakumbuka kusistizwa kunywa kijiko cha mafuta ya Samaki, Mama yangu alisisitiza kuwa ni mazuri sana kwa afya. Leo nimekumbuka kipindi hicho na baada ya kusoma masomo yangu ya shahada...
June 26, 2025
Tezi dume ni nini? Kila mwanaume huzaliwa na tezi. Tezi hii ni kiungo katika mfumo wa mkojo ambacho hufanya kazi ya kutoa majimaji (semens) ambayo husaidia shahawa za kiume kuogelea wakati wa kutoka...
June 23, 2025
Santiago, a 15-year-old boy, visits the hospital to book a voluntary male circumcision. According to the rules, everyone who requests circumcision must undergo voluntary counseling and testing. ...
May 23, 2025
Katika mtiririko wa makala zetu za masuala ya ugumba au kushindwa kushika mimba haraka, leo nitaongelea vitu vinavyoweza kupelekea mbegu za uzazi yaani mayai ya kike au kiume kupoteza ubora wake na kushindwa...
May 22, 2025
Mara nyingi tunapoenda hospitali hatusemi ukweli aslimia 100. Huenda unaogopa kumwambia daktari wako juu ya dalili zote ulizopitia, au muda ulioumwa, au kama umeshatumia mitishamba au dawa yoyote nyumbani...
May 1, 2025
Ukipata bawasili kwa mara ya kwanza unaweza kudhani ni kansa au ni utumbo unatoka nje. Hali hii hufanya mtu kuwaza mengi sana. Wengi huja hospitali kuripoti kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa....
April 25, 2025
“Sio kila homa ni malaria bhana” ni kampeni maarufu sana ambayo Wizara ya Afya imekuwa ikiitumia mara kwa mara kuwakumbusha wananchi kuacha kununua dawa na kujitibu kiholela na pia kwenda mapema kwenye...
April 25, 2025
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini tusipoweka chandaru baba anatugombeza sana! Mzee alihakikisha anapita chumbani kila usiku na kama chndarua hakijawekwa vizuri alikuwa anakirekebisha na kuhakikisha...
No posts found