MAKALA MPYA
Mei 9, 2026
“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana”
Hiyo...
Aprili 25, 2026
“Kama Baba Mateso angekuwa ananunua dawa ya mbu ya kuchoma mara kwa mara, familia hii tusingekuwa na Malaria!” Mama Mateso akiwa analalamika.
Unatamani umuulize swali: Jukumu la kukinga...
Aprili 24, 2026
Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.
Ninakuandikia wewe ambaye labda jana au wiki iliyopita umehisi...
Aprili 24, 2026
Kuna baadhi yetu tunapohisi dalili za malaria, tunakimbilia katika maabara kupima na kwenda kwenye maduka ya dawa kwa ajili ya kupata dawa mseto.
Ni kawaida ya wengi kutafuta tiba mbadala ya...
Aprili 23, 2026
Tanzania imeanza utekelezaji rasmi wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote (UHI Act, 2023) mwanzoni mwa mwaka huu wa 2026. Haya ni mapinduzi katika sekta ya afya yanayolenga kumgusa kila mtanzania.
Kabla...
Machi 30, 2026
Kila mtu atakufa, hilo halina ubishi kabisa. Swali ni kwamba, utakufa lini? Utakufaje ? Katika mazingira yapi? Je, unaamini kuna vifo vinavyosababishwa na ukosefu wa elimu?
Leo hii ukipatwa na dharula ya mtu wako kuanguka ghafla au ukikutana na mtu amedondoka ghafla utachukua hatua gani?...
Machi 20, 2026
Sekunde chache zinaweza kutofautisha kati ya kupona na kupoteza maisha. Wakati unapokabiliwa na dharura kama ajali, kiharusi (stroke), au shambulio ghafla la moyo, kuna muda muhimu unaoitwa “Saa la Dhahabu”.
Hizi...
Machi 3, 2026
Maisha ya kisasa yanawalazimisha watu wengi kukaa kwenye viti kwa saa nane au zaidi kila siku. Watu wengi hutumia muda mwingi wakiwa wamekaa.
Wanafunzi hukaa darasani wakisoma, wafanyakazi hukaa ofisini,...
Febuari 27, 2026
Kama nilivyoeleza kwenye makala iliyopita (unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa), watu mbalimbali wanahitaji damu kwa mahitaji tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na ujauzito, kufanyiwa upasuaji (operation)...
Febuari 27, 2026
Kumekuwa na kampeni nyingi za kuhamasisha watu kuchangia damu kwa hiari. Mara nyingi, mtu anapokuwa ana mgonjwa hospitali anayehitaji damu, ndugu wanahamasishwa kuchangia damu ili kuweza kurejesha ile...
No posts found
