Salma Jumatatu, MD

Analytical, energetic, and detail-oriented medical doctor and researcher with experience supporting qualitative and quantitative research-related activities. My skill set spans from conducting interviews, coding qualitative data materials, and analyzing qualitative and quantitative data materials as well as English- Swahili transcription and translation. Also, I have experience in stakeholder meetings, workshop facilitations, evidenced-based dissemination and policy and strategic planning.

toxins which destroy quality of human eggs and sperms

Sumu Zinazoharibu Ubora wa Mbegu za Uzazi

Katika mtiririko wa makala zetu za masuala ya ugumba au kushindwa kushika mimba haraka, leo nitaongelea vitu vinavyoweza kupelekea mbegu za uzazi yaani mayai ya kike au kiume kupoteza ubora wake na kushindwa kutengeneza kijusi chenye afya. Tunafahamu kuwa mbali na umri, mazingira na aina ya maisha tunayoishi yanathiri pakubwa ubora wa mayai – hasa […]

Sumu Zinazoharibu Ubora wa Mbegu za Uzazi Read More »

Madhara ya Kutomwambia Ukweli Daktari Wako

Mara nyingi tunapoenda hospitali hatusemi ukweli aslimia 100. Huenda unaogopa kumwambia daktari wako juu ya dalili zote ulizopitia, au muda ulioumwa, au kama umeshatumia mitishamba au dawa yoyote nyumbani kabla ya kwenda kumuona daktari.  Je, unajua madhara ya kutosema ukweli? Kunapoteza Muda Wako! Nimeshuhudia wagonjwa wengi wakipoteza muda hospitalini kwa kitu kidogo tu ambacho hawakusema

Madhara ya Kutomwambia Ukweli Daktari Wako Read More »

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu

Ni wazi umeshawahi kuusikia ugonjwa wa Malaria kabla ya kusoma makala hii. Na si aghalabu kuwa umeshawahi kuumwa malaria, au ndugu yako, au mtoto wako, au mtu unayemfahamu ameshawahi kusumbuliwa na ugonjwa huu wa malaria.   Je, unajua malaria inasababishwa na nini? Je, unajua kimelea cha malaria kiingia mwilini kinafanya nini au kinasababisha vipi hali

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu Read More »

en_USEN