Salma Jumatatu, MD

Analytical, energetic, and detail-oriented medical doctor and researcher with experience supporting qualitative and quantitative research-related activities. My skill set spans from conducting interviews, coding qualitative data materials, and analyzing qualitative and quantitative data materials as well as English- Swahili transcription and translation. Also, I have experience in stakeholder meetings, workshop facilitations, evidenced-based dissemination and policy and strategic planning.

Dalili Kali za Malaria Zinazohitaji Huduma kwa Haraka

Kuna baadhi yetu tunapohisi dalili za malaria, tunakimbilia katika maabara kupima na kwenda kwenye maduka ya dawa kwa ajili ya kupata dawa mseto.  Ni kawaida ya wengi kutafuta tiba mbadala ya malaria kabla ya kwenda hospitali kutokana na sababu mbalimbali za umbali, uchumi na kukwepa adha nyingine.  Je, umeshawahi kujiuliza kwanini unatakiwa kuwahi kituo cha […]

Dalili Kali za Malaria Zinazohitaji Huduma kwa Haraka Read More »

Kuna Athari Zozote za Kuongezewa Damu Mwilini?

Kama nilivyoeleza kwenye makala iliyopita (unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa), watu mbalimbali wanahitaji damu kwa mahitaji tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na ujauzito, kufanyiwa upasuaji (operation) mkubwa, watoto kutokana na sababu mbalimbali, wagonjwa wa kansa, waliopata ajali na kupoteza damu nyingi kwa wakati mfupi, na kadhalika. Sio mara zote mtu anapatiwa damu yote kama ilivyotoka

Kuna Athari Zozote za Kuongezewa Damu Mwilini? Read More »

What happens during blood transfusion?

Nini Hutokea Mwilini Baada ya Kuchangia Damu? Kuna Faida Zozote?

Kumekuwa na kampeni nyingi za kuhamasisha watu kuchangia damu kwa hiari. Mara nyingi, mtu anapokuwa ana mgonjwa hospitali anayehitaji damu, ndugu wanahamasishwa kuchangia damu ili kuweza kurejesha ile ambayo mgonjwa wao amepatiwa.  Je, umeshawahi kujiuliza ni kwanini damu inahitajika kila siku? Na kuchangia damu kuna athari gani mwilini mwako?  Hali kadhalika mgonjwa wako anapopokea damu,

Nini Hutokea Mwilini Baada ya Kuchangia Damu? Kuna Faida Zozote? Read More »

Fahamu Faida na Hasara za Punyeto kwa Mwanamke

Je, umeshawahi kujiuliza athari za punyeto kwa wanawake? Tendo hili mara nyingi linahusishwa na wanaume na mara chache sana kuzungumziwa na hata kufanyiwa tathmini inapokuja kwa jinsia ya kike.  Je, unafahamu ni faida na hasara gani za punyeto zinazoweza kuathiri wanawake? Je, punyeto ni kitu cha kawaida?  Makala hii inazungumzia kwa uwazi ni nini maana

Fahamu Faida na Hasara za Punyeto kwa Mwanamke Read More »

toxins which destroy quality of human eggs and sperms

Sumu Zinazoharibu Ubora wa Mbegu za Uzazi

Katika mtiririko wa makala zetu za masuala ya ugumba au kushindwa kushika mimba haraka, leo nitaongelea vitu vinavyoweza kupelekea mbegu za uzazi yaani mayai ya kike au kiume kupoteza ubora wake na kushindwa kutengeneza kijusi chenye afya. Tunafahamu kuwa mbali na umri, mazingira na aina ya maisha tunayoishi yanathiri pakubwa ubora wa mayai – hasa

Sumu Zinazoharibu Ubora wa Mbegu za Uzazi Read More »

Madhara ya Kutomwambia Ukweli Daktari Wako

Mara nyingi tunapoenda hospitali hatusemi ukweli aslimia 100. Huenda unaogopa kumwambia daktari wako juu ya dalili zote ulizopitia, au muda ulioumwa, au kama umeshatumia mitishamba au dawa yoyote nyumbani kabla ya kwenda kumuona daktari.  Je, unajua madhara ya kutosema ukweli? Kunapoteza Muda Wako! Nimeshuhudia wagonjwa wengi wakipoteza muda hospitalini kwa kitu kidogo tu ambacho hawakusema

Madhara ya Kutomwambia Ukweli Daktari Wako Read More »

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu

Ni wazi umeshawahi kuusikia ugonjwa wa Malaria kabla ya kusoma makala hii. Na si aghalabu kuwa umeshawahi kuumwa malaria, au ndugu yako, au mtoto wako, au mtu unayemfahamu ameshawahi kusumbuliwa na ugonjwa huu wa malaria.   Je, unajua malaria inasababishwa na nini? Je, unajua kimelea cha malaria kiingia mwilini kinafanya nini au kinasababisha vipi hali

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu Read More »

swSW