Ansbert Mutashobya, MD

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

Faida Tano za Kutofanya Mapenzi kwa Muda Mrefu

Kufanya mapenzi ni sehemu ya maisha, na ina faida nyingi za kiafya na kijamii. Mojawapo ikiwa ni kupata watoto, lakini pia ni sehemu ya starehe ya wanyama.   Kufanya mapenzi huwa na msaada wa kisaikolojia, kuleta muunganiko wa upendo kati ya wapendanao. Mahusiano yasiyojumuisha kufanya mapenzi yaweza kuharibika haraka sana kwakuwa hayana msingi imara.   […]

Faida Tano za Kutofanya Mapenzi kwa Muda Mrefu Read More »

“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara”

Presha au shinikizo la damu (high blood pressure) ni hali ya mwili kuwa na mgandamizo mkubwa katika mzunguko wa damu, hivyo kufanya moyo kusukuma damu kwa shida kutokana na kuwa na ukinzani (force) mkubwa kwenye damu.   Hali hii hufanya mishipa ya damu kubeba damu katika mgandamizo mkubwa hivyo kupelekea uwezekano wa kupasuka na kuvujia

“Presha yangu haishuki pamoja na kumeza dawa mara kwa mara” Read More »

Sababu 4  kwanini misuli yako haikui

Kukuza misuli na kuwa na muonekano wa kuvutia ni lengo la vijana wengi. Ndio maana ukienda gym utaona vijana wanavyopambana kukuza misuli.   Kwa bahati mbaya au nzuri, huwa sio rahisi kama wengi wanavyodhani na utafiti unaonyesha asilimia 75% ya vijana wanaojaribu kukuza misuli huishia njiani au kufeli kabisa kwa kushindwa kuendelea na kukaa tamaa

Sababu 4  kwanini misuli yako haikui Read More »

“Hakuna Kitu Kigumu Kwangu Kama Kunywa Maji!”

Hii ni kauli ambayo utaisikia sana miongoni mwa watu wengi. Uvivu wa kunywa maji ni jambo la kawaida kwa walio wengi.   Hali hii imekua mazoea kwa watu wengi, hasahasa maeneo ya mjini, na wengi wao wameshajitengenezea visingizio vyao kama sababu. Lakini kuna sababu za muhimu ambazo zinaweza zikamfanya mtu asinywe kiwango sahihi cha maji.

“Hakuna Kitu Kigumu Kwangu Kama Kunywa Maji!” Read More »

en_USEN