Ansbert Mutashobya, MD.

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

ALLERGY – the ‘masked’ enemy within

An allergy in most times can be explained by a Swahili saying “Kikulacho ki nguoni mwako” meaning that most of the allergy causes are just lying around your surroundings.   When a body reacts to something, most people have a tendency of thinking that it’s a disease from somewhere far or an infection spread by […]

ALLERGY – the ‘masked’ enemy within #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli?

Kuna msemo unasema ‘ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha dunia’, Je ni kweli? Mwanamke ana uhusiano gani na afya ya familia?   Mwandishi maarafu wa Marekani, Zig Ziglar, katika kitabu chake cha “See You at the Top” kuna mahala anasema “The best way to love your children is to love their mother”.   Unaisi aliona nini kwa mwanamke?

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli? #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

How to solve malnutrition in Africa

UTAPIAMLO: Adui wa Akili ya Mwanao!

Neno utapiamlo sio geni masikioni mwako. Bila shaka umelisikia sana sehemu mbalimbali ikiwemo kusoma mahali hasa kwenye Biolojia shule ya msingi au kuwaona watoto wenye utapiamlo.   Utapiamlo ni hali ya mwili kukosa uwiano wa virutubisho muhimu kwa maana ya kuwa navyo vingi au pungufu. Jamii huitazama hali hii ya kiafya kwa upande mmoja wa

UTAPIAMLO: Adui wa Akili ya Mwanao! #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Social Media: Your Mental Health Vampire

Since 2004 when Facebook was launched by Mark Zuckerberg, new ways for people to socialize were opened. Facebook became so popular to the extent where almost everyone with a smartphone was using it.   Later on WhatsApp, Instagram, X (previous Twitter) and TikTok followed as the other means of social communication.   Research done in

Social Media: Your Mental Health Vampire #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Tabia Kuu 3 Zinazoleta Afya Nzuri ya Akili

Afya ya akili ni nini? Ni hali ya ubongo wako kungamua mambo mbali mbali  yanayohusisha kufikiria, kumbukumbu,  hisia, maamuzi, kuona kwa usahihi na jinsi ya kuhusiana na jamii kwa ujumla. Afya ya akili sio ukosefu wa magonjwa ya akili.   Shirika la afya duniani (WHO) hutambua afya ya akili kama mojawapo ya mahitaji muhimu ya

Tabia Kuu 3 Zinazoleta Afya Nzuri ya Akili #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake

Afya yako ina mahitaji mengi. Yapo mahitaji muhimu na lazima na yale muhimu lakini sio lazima sana.   Unaweza kuifananisha afya na nyumba. Inajengwa kwa vipimo maalum. Vifaa vya ujenzi wa afya havipaswi kuwa chini ya mahitaji au zaidi ya mahitaji.     “Ngoma ivumayo sana ndiyo hupasuka” ni methali ya kiswahili itumikayo kuonyesha kwamba

Mahitaji 3 Muhimu ya Afya na Mipaka Yake #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Sababu 3 Kwanini Miguu Yako Huvimba

Bila shaka swala la kuvimba miguu sio geni kwako. Linaweza kuwa limeshakutokea au kumtokea ndugu na jamaa yako wa karibu.   Miguu kuvimba huwa ni hali ya kushtua kidogo na hupelekea watu wengi kuzunguka huku na kule kutafuta matibabu.   Matibabu ya hali hii yamekuwa magumu sana kwasababu matabibu wengi wanatoa dawa bila kujua nini

Sababu 3 Kwanini Miguu Yako Huvimba #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

A Poor health and Poor life Are Siblings

Health poverty is not the absence of a disease or presence of disability, it’s a state of mind where you can’t reach your health requirements.   The same applies to Economic poverty, it’s not the absence of money in your pocket rather a state of mind in which you cannot take appropriate actions to provide

A Poor health and Poor life Are Siblings #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

3 Healthy Ways to Challenge Your Body

According to Newton’s laws of force, for a plane to fly there must be a force against which the plane has to move. Without this force, the plane cannot fly and will fall back to the ground. The same applies to the bird and the ship.   This fact has let the plane mechanics to

3 Healthy Ways to Challenge Your Body #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

5 reasons condom should be your best friend

“Piece of mind” after sex I know this is not new to you. Ever found yourself regretting after doing sex with a person you met lately? What questions do you ask yourself? It can take even three days to forget the regret and sometimes it can take your piece away for a month.    

5 reasons condom should be your best friend #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

en_USEN