Ansbert Mutashobya, MD

Chief Content Officer (CCO) at Abite Afya I'm responsible for overseeing the entire content strategy, ensuring that all published materials align with the blog’s mission, audience needs, and business goals.

Nasumbuliwa na UTI Kila Mara, Nifanyeje?

Bila shaka swali kama hili sio geni kwako au inawezekana na wewe ni muhanga wa changamoto hii. Unapambana nayo vipi? Au unaishi nayo tu kama kawaida? Binafsi kama daktari nimekutana na wagonjwa wa namna hii mara kwa mara na nimekuwa nakijitahidi kutoa elimu ili kuhakikisha kila ninayekutana nae anapata msaada.   Kama wewe ni miongoni mwa watu ambao wanahisi UTI yao haiponi na inajirudia mara kwa mara basi usiache kusoma makala hii mpaka mwisho. Itakusaidia kupata njia sahihi ya kupita; njia namba tano itakushangaza.  Neno UTI ni kifupisho cha neno la kiingereza lijulikanalo kama Urinary Tract Infection, yaani maambukizi ya njia ya mkojo. Maambukizi haya, mara nyingi, husababishwa na bakteria mbalimbali […]

Nasumbuliwa na UTI Kila Mara, Nifanyeje? Read More »

Nikiungua Moto Nichukue Hatua Gani za Mapema?

Jamii ina utaratibu wake wa kufanya pale mtu anapoungua. Wewe unajua upi? Kwenye utamaduni wangu nimekuwa nikiona mtu akiungua anamwagiwa mkojo kwenye sehemu aliyoungua na imekuwa ikiaminika kwamba inasaidia.   Wengine huwa wanawahi kuweka asali sehemu iliyoungua wakiamini ni msaada mkubwa.  Wengine mafuta ya taa, petroli na kadhalika. Ninyi kwenu huwa  mnafanyaje?  Kuungua ni tukio

Nikiungua Moto Nichukue Hatua Gani za Mapema? Read More »

Mkojo Unakataa Kutoka? Tezi Inaweza Kuwa Sababu!

Tezi dume ni nini? Kila mwanaume huzaliwa na tezi. Tezi hii ni kiungo katika mfumo wa mkojo ambacho hufanya kazi ya kutoa majimaji (semens) ambayo husaidia shahawa za kiume kuogelea wakati wa  kutoka nje kupitia kwenye njia ya mkojo.  Pia maji hayo husaidia kuandaa njia ya mkojo kuondoa ule utindikali na hivyo kusaidia shahawa kupita

Mkojo Unakataa Kutoka? Tezi Inaweza Kuwa Sababu! Read More »

Nitagunduaje Dalili za Mapema za Malaria?

“Sio kila homa ni malaria bhana” ni kampeni maarufu sana ambayo Wizara ya Afya imekuwa ikiitumia mara kwa mara kuwakumbusha wananchi kuacha kununua dawa na kujitibu kiholela na pia kwenda mapema kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kupima ili kuthibitisha uwepo wa vimelea kabla ya kutumia dawa ili kuepuka changamoto kubwa zinawoweza kujitokeza kwani

Nitagunduaje Dalili za Mapema za Malaria? Read More »

“Sitaacha tena kutumia chandarua chenye dawa maishani mwangu”

Nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini tusipoweka chandaru baba anatugombeza sana! Mzee alihakikisha anapita chumbani kila usiku na kama chndarua hakijawekwa vizuri alikuwa anakirekebisha na kuhakikisha tuko ndani ya vyandarua.     Na kweli kwa wakati huo sikumbuki lini nimelazwa hospitali kwasababu ya malaria.   Mwaka 2012 nilipojiunga na Chuo Kikuu, nilikutana na utaratibu tofauti: rafiki

“Sitaacha tena kutumia chandarua chenye dawa maishani mwangu” Read More »

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata? 

Bila shaka huwa una tabia ya kujifunza namna ya kuepuka magonjwa mbalimbali kama malaria, UKIMWI, kaswende, kansa, n.k. Lakini ulishawahi kujifunza namna ya kujikinga na kiharusi (stroke)?   Kama bado basi nakusihi uanze sasa kujua namna gani ya kujikinga na changamoto ya kiharusi kwasababau sio ugonjwa mzuri na una matokeo hasi sana ikiwa utaupata.   

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata?  Read More »

Njia Kuu 4 za Kujikinga na Malaria

“Mwaka 2015 mtoto wetu wa miaka 6 alifariki kwa sababu ya ugonjwa wa malaria.” Alisema mama mmoja kwa uchungu wakati tukizungumza mawili matatu.   “Hatukuwahi kabisa kuzingatia maagizo ya afya ya kujikinga na malaria na ndio sababu.” Aliongezea mama huyo huku machozi yakimlenga.   Ni rahisi sana kupuuzia maagizo ya wataalam kuhusu namna ya kujikinga

Njia Kuu 4 za Kujikinga na Malaria Read More »

Mambo Matatu Yanayofanya Wagonjwa Wamuamini Daktari 

Dunia inakwenda kasi sana na mambo yanabadilika, lakini katika taaaluma ya udaktari kuna mambo hayapaswi kubadilika mpaka mwisho wa dunia.   “Heshima ya mgonjwa au ndugu wa mgonjwa kwa daktari”    Ulishawahi kuheshimiwa na mgonjwa au ndugu zake? Ile hisia ya heshima inaweza kukufanya ujione daktari bora kabisa na hata zile shule ulizozisahau zinaanza kurudi zenyewe

Mambo Matatu Yanayofanya Wagonjwa Wamuamini Daktari  Read More »

Nitapata Wapi Sare za Wanafunzi wa Afya na Wafanyakazi wa Hospitali? 

Hivi sikuhizi kuna mtu bado anaagiza China sare za wafanyakazi wa hospitali? Kama bado unaagiza, basi hauna taarifa sahihi za nchi yako!      Tanzania imeendelea kuwa na viwanda vinavyokua kwa kasi sana. Mojawapo ni viwanda vya kutengeneza sare za wafanyakazi wa afya. Hapa hapa Tanzania unapata sare za kutosha kwa designs zozote utakazopendelea.    Zamani

Nitapata Wapi Sare za Wanafunzi wa Afya na Wafanyakazi wa Hospitali?  Read More »

en_USEN