Ni Ukweli Unywaji wa Maziwa Unaweza Kupelekea Saratani ya Kibofu kwa Wanaume?
Leo asubuhi wakati naelekea katika pilikapilika za hapa na pale nilipata wasaa wa kuperuzi katika kundi moja la WhatsApp ambapo nilikutana na mazungumzo yanayohusu makala iliyoandikwa na BBC ambapo makala hiyo ilisema maziwa yamehusishwa na saratani ya kibofu kwa asilimia 60. Jambo hili lilishtua hisia zangu ambapo ilinifanya nitamani kufanya utafiti kidogo kisha niandike makala […]
Ni Ukweli Unywaji wa Maziwa Unaweza Kupelekea Saratani ya Kibofu kwa Wanaume? Read More »