Mkojo Unakataa Kutoka? Tezi Inaweza Kuwa Sababu!
Tezi dume ni nini? Kila mwanaume huzaliwa na tezi. Tezi hii ni kiungo katika mfumo wa mkojo ambacho hufanya kazi ya kutoa majimaji (semens) ambayo husaidia shahawa za kiume kuogelea wakati wa kutoka nje kupitia kwenye njia ya mkojo. Pia maji hayo husaidia kuandaa njia ya mkojo kuondoa ule utindikali na hivyo kusaidia shahawa kupita […]
Mkojo Unakataa Kutoka? Tezi Inaweza Kuwa Sababu! Read More »