December 2024

Madhara Matano ya Uzito Mdogo 

Mara nyingi tukiongelea uzito watu wengi huangalia uzito mkubwa kama tishio kwenye afya.   Ulishawahi kujiuliza mtu akiwa na uzito mdogo kupita kawaida ina athari gani kwenye afya? Usiumize kichwa sana kwasababu makala hii itakupa majibu ya swahi hilo.    Uzito kiasi gani huesabika kama uzito mdogo? Jibu ni kwamba hakuna uzito maalum unaohesabika kama

Madhara Matano ya Uzito Mdogo  Read More »

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu?

Habari yako mpenzi msomaji?   Najua si jambo geni kusikia swala la upungufu wa damu hasa kwa watoto, wajawazito, pamoja na wasichana walio katika umri wa kuzaa. Kwa wengi wetu imekua ni kawaida  kutafuta namna mbalimbali ambazo zinaweza kusaidia kutatua changamoto hii ya upungufu wa damu mwilini hasa tukiamini kwamba vitu kama soda zenye rangi

Je! Ni Kweli Soda au Juisi za Rangi Nyekundu Huongeza Damu? Read More »

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini?

“Mtoto wangu haongezeki uzito, nifanye nini?”   Hili ni swali ambalo liko katika akili za wazazi wengi wanaojali afya za watoto wao, kipindi ambacho watoto wanakua wananyonya na katika kipindi ambacho watoto wanaanza kutumia vyakula mbadala.    Muhimu ni kufahamu kwamba kipindi ambacho mtoto anakua kunakua na kiasi maalumu cha upandaji wa uzito huu.   

Mtoto Wangu Haongezeki Uzito, Nifanye Nini? Read More »

en_USEN