Nyaya (Orthodontic Braces) Kwenye Meno ni Urembo au Matibabu?
Nimetumia neno nyaya kwani ndivyo wengi huita vifaa hivi vya kurekebisha mpangilio wa meno yaani orthodontic braces. Inawezekana hata wewe ulishawahi kuziita nyaya za meno au ukadhani kuwa ni urembo wa mdomoni. Wengine huenda mbali hadi kuziita senyenge za mdomoni na majina mengine kadha wa kadha. ”Mh! Hizo nyaya umeweka huko mdomoni ni za […]
Nyaya (Orthodontic Braces) Kwenye Meno ni Urembo au Matibabu? Read More »