Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza
Mwaka 2018 nilikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu niliyekuwa na matumaini makubwa na ndoto nyingi za kutimiza. Nilifurahia masomo yangu, marafiki walikuwa chanzo cha furaha yangu, na siku za usoni zilionekana kung’aa. Ghafla nilipokaribia mwaka wa mwisho nilianza kuwa mtu wa mawazo na kufikiri sana kuhusu future yangu na nini nitafanya nikirudi mtaani. Nilianza kuhisi […]
Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza Read More »