Ijue Afya Yako kwa Tabasamu Zuri.
Karibu!
Blogu yetu ipo kukupa elimu ya afya kwa changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku.
MAKALA MPYA
Safari ya Tanzania katika kupambana na ukoma ni mfano mzuri wa mafanikio kwenye afya ya jamii. Miaka ya nyuma, ugonjwa huu ulileta ulemavu mkubwa, unyanyapaa, na changamoto nyingi za...
Watu wengi sana tuna Google dalili tulizonazo kabla na baada ya kwenda hospitali, bila shaka hii inaweza kuwa njia ya kuokoa muda, lakini kwa upande mwingine wa shilingi, hatua hii...
“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana”
Hiyo...
“Kama Baba Mateso angekuwa ananunua dawa ya mbu ya kuchoma mara kwa mara, familia hii tusingekuwa na Malaria!” Mama Mateso akiwa analalamika.
Unatamani umuulize swali:...
Naomba usome makala hii polepole na kwa utulivu sana, kwa sababu ninakuandikia wewe na sio orodha ya watu, wala takwimu za hospitali.
Ninakuandikia wewe ambaye labda jana...
Kuna baadhi yetu tunapohisi dalili za malaria, tunakimbilia katika maabara kupima na kwenda kwenye maduka ya dawa kwa ajili ya kupata dawa mseto.
Ni kawaida ya wengi kutafuta...
Kuhusu Sisi
Dhamira yetu ni kuelimisha jamii za kiafrika kwa kutumia lugha rafiki.
Asilimia zaidi ya 45 ya watu wazima, kwenye nchi za kiafrika, wana ukosefu wa Elimu sahihi kuhusu afya zao. Imekua tamaduni kwa wengi kukimbilia pharmacy pale tukikumbwa na changamoto ndogo ndogo za kiafya.
Lakini, ingekua poa kiasi gani kama kungekua na suluhisho bure kwa shida mbalimbali za miili yetu? Suluhisho linalopatikana masaa 24 kila siku!
Hii ndo sababu kubwa ya uwepo wetu. Kusaidia watanzania na waafrika kiujumla kupata taarifa sahihi za afya zao, ili kutengeza tabia bora za kiafya na kufanya maamuzi sahihi ya tiba baada ya kupata ugonjwa.






