Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa?
“Daktari nina kikohozi cha zaidi ya wiki mbili sasa na nikikohoa makohozi yanatoka yaliochanganyika na damu, pamoja na kuchoka mwili, vilevile nikilala usiku natokwa na jasho sana” Hiyo hapo juu ni nukuu ya maelezo ya mgonjwa mmoja alipoamua kufika hospitali baada ya kujaribu kutibu kikohozi kwa zaidi ya wiki mbili bila kupona, alizidi kuona hali […]
Mgonjwa wa Kifua Kikuu Akitibiwa Anapona kabisa? Read More »










