Mambo 10 ya Kuzingatia Wakati Unafanya “Dieting” ili Kupungua Uzito
Nimeamua kuandika makala hii kwa sababu watu wengi huwa wanatamani kujua vitu vya kufanya ili waweze kupungua uzito hasa katika eneo la tumbo au kitambi. Uzito uliozidi umekua ukihusishwa moja kwa moja na hatari ya mtu kupata magonjwa yasiyoambukiza kama vile shinikizo la juu la damu, magonjwa ya moyo, magonjwa ya mifupa, kisukari na […]
Mambo 10 ya Kuzingatia Wakati Unafanya “Dieting” ili Kupungua Uzito Read More »