Dalili Kuu 5 Zinazoashiria Una Tatizo la Moyo
Mwili wa binadamu umeumbwa na mifumo mbalimbali inayofanya kazi pamoja kuhakikisha wewe unakuwa hai. Katika mifumo hiyo yote moyo ndio kiunganishi kikuu. Nitakosea nikiufananisha moyo wako na injini ya gari? Kama una ufahamu na gari utanielewa. Moyo na injini ya gari ni kama vinafanya kazi zinazofanana. Bila injini kuwa imara, mafuta na maji kwenye […]
Dalili Kuu 5 Zinazoashiria Una Tatizo la Moyo Read More »