Afya

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata? 

Bila shaka huwa una tabia ya kujifunza namna ya kuepuka magonjwa mbalimbali kama malaria, UKIMWI, kaswende, kansa, n.k. Lakini ulishawahi kujifunza namna ya kujikinga na kiharusi (stroke)?   Kama bado basi nakusihi uanze sasa kujua namna gani ya kujikinga na changamoto ya kiharusi kwasababau sio ugonjwa mzuri na una matokeo hasi sana ikiwa utaupata.   

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata?  Read More »

Faida za Kiafya za Kupunguza Uzito Wako 

Unapoweka malengo ya kupunguza uzito huwa unalenga nini hasa?   Je unataka muonekano mzuri? Unataka kuongeza ujasiri (confidence)? Au unataka kumfurahisha mchumba wako? Wengine hupunguza uzito ili waigize filamu au watoe wimbo fulani.  Kwa bahati mbaya asilimia 95% ya watu wanaojaribu kupunguza uzito hushindwa. Kama umeweza basi kuna sababu ya ziada na ya kipekee iliyokusaidia

Faida za Kiafya za Kupunguza Uzito Wako  Read More »

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako

Katika kutibu ugonjwa kuna njia nyingi, mojawapo (ambayo ni kubwa) ni matumizi ya dawa. Asilimia 90% ya wagonjwa wanapoumwa macho hukimbilia kwenye dawa wakiamini kwamba dawa pekeee ndiyo inaweza au inatakiwa kutibu au kufanya ugonjwa kuwa nafuu.    Bahati mbaya matumizi ya dawa za maumivu kwa muda mrefu zimechangia kupata madhara mengine kama vidonda vya tumbo, kuvimba

Vifaa Tiba 10 vya Kuwa Navyo Nyumbani Kwako Read More »

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu

Maumivu ya kisigino na unyayo (plantar pain) ni moja ya changamoto kubwa katika jamii. Tatizo hili lipo sana kwa wanamichezo na wanawake wenye uzito mwingi na vitambi.    Husababishwa na nini? 1. Plantar Fasciitis Hii ni hali ya utando wa chini wa sole ya  mguu, fascia (utando mweupe ambao huunganisha kati ya kisigino na vidole),

Maumivu ya Kisigino na Unyayo: Visababishi na Njia za Kutibu Read More »

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako

Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi?   Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu

Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »

swSW