MAKALA MPYA
Mei 1, 2025
Ukipata bawasili kwa mara ya kwanza unaweza kudhani ni kansa au ni utumbo unatoka nje. Hali hii hufanya mtu kuwaza mengi sana. Wengi huja hospitali kuripoti kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa....
Aprili 25, 2025
“Sio kila homa ni malaria bhana” ni kampeni maarufu sana ambayo Wizara ya Afya imekuwa ikiitumia mara kwa mara kuwakumbusha wananchi kuacha kununua dawa na kujitibu kiholela na pia kwenda mapema kwenye...
Aprili 25, 2025
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini tusipoweka chandaru baba anatugombeza sana! Mzee alihakikisha anapita chumbani kila usiku na kama chndarua hakijawekwa vizuri alikuwa anakirekebisha na kuhakikisha...
Aprili 25, 2025
Ni wazi umeshawahi kuusikia ugonjwa wa Malaria kabla ya kusoma makala hii. Na si aghalabu kuwa umeshawahi kuumwa malaria, au ndugu yako, au mtoto wako, au mtu unayemfahamu ameshawahi kusumbuliwa na ugonjwa...
Aprili 11, 2025
Je, unatamani kushika ujauzito? Au uko kwenye safari ya kushika ujauzito, kupandikiza mtoto (IVF) au kupata mimba kwa njia asilia? Unafahamu kuhusu ubora wa yai (egg quality)? Kuwa na yai...
Aprili 6, 2025
Bila shaka huwa una tabia ya kujifunza namna ya kuepuka magonjwa mbalimbali kama malaria, UKIMWI, kaswende, kansa, n.k. Lakini ulishawahi kujifunza namna ya kujikinga na kiharusi (stroke)? Kama bado...
Machi 11, 2025
“Mwaka 2015 mtoto wetu wa miaka 6 alifariki kwa sababu ya ugonjwa wa malaria.” Alisema mama mmoja kwa uchungu wakati tukizungumza mawili matatu. “Hatukuwahi kabisa kuzingatia maagizo ya afya...
Machi 11, 2025
“Kadri miaka inavyoenda, ndivyo binadamu tunazidi kukua.” Katika hali ya ukuaji kuna mabadiliko mbalimbali ya kimwili hutokea na hivyo basi tunatakiwa kuzingatia ulaji bora ili tuwe...
Machi 3, 2025
Nani yuko nyuma ya bidhaa za vyakula za Essie’s? Kwa majina naitwa Ester Mndeme. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto watatu. Baba yangu ni fundi seremala aliyejitahidi sana katika...
Febuari 20, 2025
In today’s fast-paced world, many individuals manage chronic conditions or mental health issues that require consistent medication. While modern medicine offers a variety of pharmaceuticals that can significantly...
No posts found