Ester Mndeme

Providing nutrition education and counselling in Tanzanian local communities, currently in Mkuranga - Pwani region. My goal is to raise awareness on how to improve our health through nutrition - in all human life stages.

eat your water

Fahamu kiwango sahihi cha kunywa maji kwa siku

Maji ni kinywaji muhimu sana katika mwili; maji hufanya kazi kubwa sana ya kusaidia maswala mbalimbali katika mwili mfano mmeng’enyo wa chakula.   Kuna msemo mmoja wa kiingereza ninaopenda kuutumia ambao husema “Eat your water” (kwa kiswahili unaweza kusemwa “kula maji yako”) badala ya “drink your water” japo kwasababu maji ni mfumo wa kimiminika hivyo […]

Fahamu kiwango sahihi cha kunywa maji kwa siku Read More »

High BP Patient

Vyakula Bora kwa Wagonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu (Presha)

Shinikizo la juu la damu ni hali ambayo inampata mtu pale presha ya mishipa yake ya damu inapokua kubwa kupitiliza.   Hali hii kama haitadhibitiwa inavyotakiwa inaweza kupelekea kupata matatizo mengine ya moyo kama vile kiharusi (stroke) na hata kusababisha kupoteza maisha.     Uelewa wa namna ya kula pindi unapogundulika una shinikizo la juu

Vyakula Bora kwa Wagonjwa wa Shinikizo la Juu la Damu (Presha) Read More »

Lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari

Kisukari ni ugonjwa usioambukiza unaogundulika baada ya vipimo vya kimaabara kuonyesha viwango vikubwa vya sukari katika damu kwa nyakati tofauti tofauti.   Ili uweze kugunduliwa kuwa una kisukari unapaswa kuwa umepimwa zaidi ya mara moja.   Unapokua umegundulika na ugonjwa wa kisukari unapaswa kubadilisha mtindo wako wa maisha na hii huhusisha maswala mawili muhimu: Kuongeza

Lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari Read More »

Aina 2 za juisi zitakazoimarisha uwezo wako wa kuona

Katika vipindi mbalimbali vya maisha ya binaadamu kumekua na mafundisho mbalimbali ambayo tunapata na leo katika makala hii nitaongelea namna ambavyo lishe, hasahasa juisi, inasaidia katika swala la uono au kuona (eyesight).   Tulivyokua watoto, wengi wetu, tulikua tunakazaniwa kula mboga za majani kwa msisitizo kwamba zinasaidia katika kuona vizuri.   Kupitia makala hii utaelewa,

Aina 2 za juisi zitakazoimarisha uwezo wako wa kuona Read More »

Vyakula Vinavyoongeza Maziwa ya Mama Baada ya Kujifungua

Je, umeshajifungua na maziwa hayotoki mengi? Leo nitakuelekeza namna ya kufanya ili ikusaidie wewe mama unayenyonyesha kupata maziwa ya kutosha kwa ajili ya mtoto wako na pia ni namna gani unapaswa kumnyonyesha mtoto wako ili aongezeke uzito.   Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na UNICEF wanapendekeza kuwa mama anapojifungua anapaswa kumnyonyesha mtoto ndani ya

Vyakula Vinavyoongeza Maziwa ya Mama Baada ya Kujifungua Read More »

fahamu vyakula bora kwa mwanamke katika kipindi cha ujauzito

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito

Kipindi cha ujauzito ni kipindi ambacho mama anapaswa kuwa anakula vyakula vinavyompatia virutubisho vya kutosha kwa ajili ya maendeleo ya kiafya yanayotakiwa katika mwili wake na pia kwa ajili ya ukuaji bora wa mtoto tumboni mwake.   Vyakula vinavyompatia mama virutubishi vya kutosha katika kipindi cha ujauzito huimarisha afya ya mama na humsaidia mtoto kukua

Athari 7 za Kukosa Lishe Bora kwa Mama Mjamzito Read More »

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6

Wazazi wengi na walezi wa watoto waliokamilisha miezi sita, na wanaotakiwa kuwaanzishia watoto vyakula vya nyongeza, huwa na maswali mengi sana ya vyakula vya kutumia katika kuwalisha watoto wao.   Wengi wao huishia kuogopa kuwapa watoto vyakula vya aina mbalimbali wakihofia labda hawatakua wanafanya kitu sahihi kuwalisha watoto wao vyakula mbalimbali.     Je! Unajua

Fahamu vyakula vya kumpatia mtoto wako baada ya kufikisha miezi 6 Read More »

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi

Afya ya uzazi ni swala ambalo limekua likigusa watanzania wengi na katika kufanya kazi kwenye  maeneo ya hospitali ni swala ambalo nimekutana nalo mara kwa mara.     Katika jamii zetu, changamoto za uzazi zimekua zikiongezeka kila siku na kwa kasi kubwa; watu wengi wanahangaika kutafuta suluhisho za aina mbalimbali bila mafanikio. Hii ndio sababu

Fahamu vyakula bora kwa afya njema ya uzazi Read More »

Nutritional flour

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia

Unga wa lishe, katika jamii yetu, umezoeleka kuwa ni unga ambao unatumiwa na watu kwa ajili ya kupikia uji ambacho ni chakula kinachotumiwa na watu wengi – asubuhi au jioni.   Au kama kutakua na mgonjwa, basi hutengenezewa uji ili aweze kupata chakula kinacholika kwa urahisi hasa kwasababu chakula hichi huwa katika hali ya kimiminika.

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia Read More »

swSW