Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako
Kuna maana yoyote kuzingatia unakula muda gani? Tulipokuwa watoto, chochote unachoshika au kupewa mwisho wa siku unaelekeza mdomoni. Ila baada ya kukua, kabla hujaweka kitu mdomoni, lazima ujiulize maswali matatu: Je! Ni muhimu? Ni lazima? Ni muda sahihi? Maswali mawili ya kwanza (muhimu na lazima) kila mtu mwenye ufahamu lazima ajiulize. Swali la tatu […]
Muda wa Kula Unavyoathari Afya na Maisha Yako Read More »










