Bawasili Inasababishwa na Mambo Haya Matano

Ukipata bawasili kwa mara ya kwanza unaweza kudhani ni kansa au ni utumbo unatoka nje. Hali hii hufanya mtu kuwaza mengi sana.   Wengi huja hospitali kuripoti kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa. Lakini ni asilimia 30 tu ya watu wenye bawasili ndio huja hospitali kuripoti hali hii.   Asilimia 10 huwa hawaji kabisa […]

Bawasili Inasababishwa na Mambo Haya Matano Read More »