Aprili 2025

Nitagunduaje Dalili za Mapema za Malaria?

“Sio kila homa ni malaria bhana” ni kampeni maarufu sana ambayo Wizara ya Afya imekuwa ikiitumia mara kwa mara kuwakumbusha wananchi kuacha kununua dawa na kujitibu kiholela na pia kwenda mapema kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kupima ili kuthibitisha uwepo wa vimelea kabla ya kutumia dawa ili kuepuka changamoto kubwa zinawoweza kujitokeza kwani […]

Nitagunduaje Dalili za Mapema za Malaria? Read More »

“Sitaacha tena kutumia chandarua chenye dawa maishani mwangu”

Nilipokuwa mdogo nilikuwa nashangaa kwanini tusipoweka chandaru baba anatugombeza sana! Mzee alihakikisha anapita chumbani kila usiku na kama chndarua hakijawekwa vizuri alikuwa anakirekebisha na kuhakikisha tuko ndani ya vyandarua.     Na kweli kwa wakati huo sikumbuki lini nimelazwa hospitali kwasababu ya malaria.   Mwaka 2012 nilipojiunga na Chuo Kikuu, nilikutana na utaratibu tofauti: rafiki

“Sitaacha tena kutumia chandarua chenye dawa maishani mwangu” Read More »

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu

Ni wazi umeshawahi kuusikia ugonjwa wa Malaria kabla ya kusoma makala hii. Na si aghalabu kuwa umeshawahi kuumwa malaria, au ndugu yako, au mtoto wako, au mtu unayemfahamu ameshawahi kusumbuliwa na ugonjwa huu wa malaria.   Je, unajua malaria inasababishwa na nini? Je, unajua kimelea cha malaria kiingia mwilini kinafanya nini au kinasababisha vipi hali

Malaria: Visababishi, Dalili, Jinsi ya Kujikinga na Matibabu Read More »

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata? 

Bila shaka huwa una tabia ya kujifunza namna ya kuepuka magonjwa mbalimbali kama malaria, UKIMWI, kaswende, kansa, n.k. Lakini ulishawahi kujifunza namna ya kujikinga na kiharusi (stroke)?   Kama bado basi nakusihi uanze sasa kujua namna gani ya kujikinga na changamoto ya kiharusi kwasababau sio ugonjwa mzuri na una matokeo hasi sana ikiwa utaupata.   

Kiharusi: Nini Hutokea Baada ya Kukipata?  Read More »

swSW