Lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari
Kisukari ni ugonjwa usioambukiza unaogundulika baada ya vipimo vya kimaabara kuonyesha viwango vikubwa vya sukari katika damu kwa nyakati tofauti tofauti. Ili uweze kugunduliwa kuwa una kisukari unapaswa kuwa umepimwa zaidi ya mara moja. Unapokua umegundulika na ugonjwa wa kisukari unapaswa kubadilisha mtindo wako wa maisha na hii huhusisha maswala mawili muhimu: Kuongeza […]
Lishe bora kwa wagonjwa wa kisukari Read More »