Chronic Headache: Maumivu Sugu ya Kichwa Yanayopoteza Ladha ya Maisha
“Kichwa changu kikianza kuniuma huwa natamani kufa…nipumzike na hii taabu!” Ulishawahi kusikia kauli kama hiyo? Embu jaribu kufikiria mpaka mtu anafikia kusema hivyo, anapitia mateso kiasi gani? Maumivu ya kichwa ya muda mrefu (chronic headache) ni moja ya janga kubwa unaloweza kukutana nalo katika maisha yako; pia ni moja kati ya matatizo yanayowaleta […]
Chronic Headache: Maumivu Sugu ya Kichwa Yanayopoteza Ladha ya Maisha Read More »