Ijue Afya Yako kwa Tabasamu Zuri.
Karibu!
Blogu yetu ipo kukupa elimu ya afya kwa changamoto mbalimbali za maisha ya kila siku.
MAKALA MPYA
Bila shaka swali kama hili sio geni kwako au inawezekana na wewe ni muhanga wa changamoto hii. Unapambana nayo vipi? Au unaishi nayo tu kama kawaida? Binafsi kama daktari nimekutana na wagonjwa wa namna hii mara kwa mara na nimekuwa nakijitahidi kutoa elimu ili kuhakikisha kila ninayekutana nae anapata msaada. ...
Swala la ulaji wa nyama nyekundu ni swala ambalo katika jamii nyingi huwa na maana ya uthamani. Nikisema uthaman namaanisha ni swala linalofurahiwa na watu. Mfano wa nyama nyekundu...
Leo asubuhi wakati naelekea katika pilikapilika za hapa na pale nilipata wasaa wa kuperuzi katika kundi moja la WhatsApp ambapo nilikutana na mazungumzo yanayohusu makala iliyoandikwa...
Jamii ina utaratibu wake wa kufanya pale mtu anapoungua. Wewe unajua upi? Kwenye utamaduni wangu nimekuwa nikiona mtu akiungua anamwagiwa mkojo kwenye sehemu aliyoungua na imekuwa ikiaminika...
Kipindi nikiwa mtoto nakumbuka kusistizwa kunywa kijiko cha mafuta ya Samaki, Mama yangu alisisitiza kuwa ni mazuri sana kwa afya. Leo nimekumbuka kipindi hicho na baada ya kusoma masomo...
Tezi dume ni nini? Kila mwanaume huzaliwa na tezi. Tezi hii ni kiungo katika mfumo wa mkojo ambacho hufanya kazi ya kutoa majimaji (semens) ambayo husaidia shahawa za kiume kuogelea...
Kuhusu Sisi
Dhamira yetu ni kuelimisha jamii za kiafrika kwa kutumia lugha rafiki.
Asilimia zaidi ya 45 ya watu wazima, kwenye nchi za kiafrika, wana ukosefu wa Elimu sahihi kuhusu afya zao. Imekua tamaduni kwa wengi kukimbilia pharmacy pale tukikumbwa na changamoto ndogo ndogo za kiafya.
Lakini, ingekua poa kiasi gani kama kungekua na suluhisho bure kwa shida mbalimbali za miili yetu? Suluhisho linalopatikana masaa 24 kila siku!
Hii ndo sababu kubwa ya uwepo wetu. Kusaidia watanzania na waafrika kiujumla kupata taarifa sahihi za afya zao, ili kutengeza tabia bora za kiafya na kufanya maamuzi sahihi ya tiba baada ya kupata ugonjwa.