Huduma Zetu
Uandishi wa Makala za Afya
Abite Afya tumebobea katika kutengeneza na kusambaza maudhui ya afya yenye ubora wa hali ya juu yanayosaidia taasisi binafsi za afya na NGOs kufikia hadhira yao kwa ufanisi. Huduma zetu zinahakikisha kuwa shirika lako linawasiliana na jamii kwa usahihi, kwa upekee, na kwa taarifa sahihi za afya.
Packages za Uandishi wa Makala
1. Kifurushi cha Silver – Makala 2 kwa mwezi: TZS 100,000
Inajumuisha: Makala za afya zilizoandikwa kitaalamu.
2. Kifurushi cha Diamond – Makala 4 kwa mwezi: TZS 200,000
(Bonasi: Okoa TZS 50,000 unapoagiza zaidi ya makala 4 kwa mwezi!)
Inajumuisha: Makala za afya zilizoandikwa kitaalamu na Usimamizi wa Blogu (Thamani: TZS 70,000).
3. Kifurushi cha Tanzanite – Makala 6 kwa mwezi: TZS 300,000
(Bonasi: Okoa TZS 50,000 kwenye jumla yako!)
Inajumuisha: Makala za afya zilizoandikwa kitaalamu, Usimamizi wa Blogu (Thamani: TZS 70,000), na Email Marketing (Thamani: TZS 150,000).
Huduma za Ziada
Boresha uwepo wako mtandaoni kwa huduma zetu maalumu za:
- Usimamizi wa Blogu - TZS 70,000 kwa mwezi
- Email Marketing - TZS 150,000 kwa mwezi
Kwanini Uchague Abite Afya?
Kuchagua Abite Afya kunakuhakikishia maudhui bora ya afya yaliyoandikwa kitaalamu ili kusaidia taasisi yako kuwafikia walengwa kwa usahihi na kwa matokeo makubwa. Hizi ni baadhi ya faida za huduma zetu:
- Makala za Afya zilizoandikwa na wataalamu wa Afya
- Maudhui yaliyotengenezwa kuendana na brand yako
- Bei nafuu na punguzo kwa oda nyingi za makala
- Huduma za ziada za kuboresha uwepo wako mtandaoni