Nitapata Wapi Sare za Wanafunzi wa Afya na Wafanyakazi wa Hospitali? 

Hivi sikuhizi kuna mtu bado anaagiza China sare za wafanyakazi wa hospitali? Kama bado unaagiza, basi hauna taarifa sahihi za nchi yako! 

 

 

Tanzania imeendelea kuwa na viwanda vinavyokua kwa kasi sana. Mojawapo ni viwanda vya kutengeneza sare za wafanyakazi wa afya. Hapa hapa Tanzania unapata sare za kutosha kwa designs zozote utakazopendelea. 

 

Zamani kuagiza sare nje ya nchi ilichukua zaidi ya miezi 2 kupata lakini kwa sasa unatumia wiki mpaka siku 10 kupata; na ni rahisi kupata design unayotaka kwa wakati sahihi. 

 

Faida nyingine ya kupata sare hapa nyumbani ni kuepuka utapeli wa kuletewa vitambaa au sare ambazo ni za kiwango cha chini. Ukinunua hapa Tanzania, wewe mwenyewe unachagua kitambaa na kuhakikisha ni kizuri kabla hakijakatwa kutengeneza sare. 

 

Napata wapi hizi sare?

Utazipata kutoka Logic Master Group. Hawa ndugu zetu ni washonaji wa nguo za afya kuanzia wanafunzi, manesi, madaktari na wafamasia. Nzuri zaidi hapohapo utapata na huduma ya kudarizi majina ya taasisi yako au watumishi husika. 

 

 

Zaidi kama una sare zako za kampuni katika fani mbalimbali (tofauti na sekta ya afya), Logic Master pia watakufanikishia kwa gharama nafuu. 

 

Unaweza kuwasiliana nao kwa njia ya simu kupitia namba +255 756 258 248 au kuwatafuta kwenye kurasa yao ya Instagram hapa.

 

Lakini pia unaweza kutembelea ofisi zao zinazopatikana Magomeni Mapipa, mtaa wa Idrisa, Dar es Salaam, Tanzania. 

Leave a Comment

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *

swSW