Psych. Zaituni Salum

Tutor at abdurahman al Sumait Psychologist at Ampola tasakhtaa hospital.

Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza

Mwaka 2018 nilikuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu niliyekuwa na matumaini makubwa na ndoto nyingi za kutimiza. Nilifurahia masomo yangu, marafiki walikuwa chanzo cha furaha yangu, na siku za usoni zilionekana kung’aa.   Ghafla nilipokaribia mwaka wa mwisho nilianza kuwa mtu wa mawazo na kufikiri sana kuhusu future yangu na nini nitafanya nikirudi mtaani. Nilianza kuhisi […]

Sonona (Depression): Safari ya Hisia za Giza #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Afya ya Akili na Magonjwa ya Akili: Maana, Dalili, Sababu, na Aina za Magonjwa ya Kisaikolojia

Afya ya akili ni sehemu muhimu ya ustawi wa jumla wa mwanadamu. Ni hali ya akili kuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto za maisha, kufikia malengo, na kushirikiana na jamii kwa njia yenye maana na yenye kuridhisha.   Kwa upande mwingine, ugonjwa wa akili unahusisha matatizo ambayo yanaathiri mawazo, hisia, na tabia za mtu,

Afya ya Akili na Magonjwa ya Akili: Maana, Dalili, Sababu, na Aina za Magonjwa ya Kisaikolojia #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

en_USEN