Carolyn Mwasha, DDS

“For the love of words”

Strategies to overcome dental anxiety

Understanding and Overcoming Dental Anxiety: Strategies for Patients

A dental anxiety is a common challenge, but it doesn’t have to prevent you from getting the care you need. If you’ve ever felt nervous about going to the dentist, you’re definitely not alone. Many people experience anxiety or fear when it comes to dental visits.   By understanding your fears, using practical strategies to […]

Understanding and Overcoming Dental Anxiety: Strategies for Patients #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Ukomo wa Hedhi na Athari Zake kwa Afya ya Kinywa

Ukomo wa hedhi yaani menopause ni hatua ya asili na kipindi cha mpito kinachotokea katika maisha ya kila mwanamke baada ya kufikia umri wa makadirio ya miaka 45 hadi 55.   Kipindi hiki kinaashiria mwisho wa uwezo wa mwanamke wa kuzaa, ambapo viwango vya homoni — hasa estrogeni na progesteroni — vinapungua kwa kiasi kikubwa.

Ukomo wa Hedhi na Athari Zake kwa Afya ya Kinywa #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Ugonjwa wa Ufizi Unatibika?

Ugonjwa wa ufizi ni hali inayotokea pale ambapo tishu zinazozunguka na kushikilia meno zinapovimba au zinaposhambuliwa na wadudu.     Ugonjwa huu unaweza kuanzia kama gingivitis, hali ya awali ambayo ni ya kawaida na inaweza kutibiwa kwa urahisi. Ikiwa haitatibiwa, gingivitis inaweza kusababisha periodontitis, hali kali zaidi inayoweza kusababisha kupoteza meno na kuathiri afya ya

Ugonjwa wa Ufizi Unatibika? #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Fahamu madhara ya kutosafisha ulimi wako mara kwa mara na njia bora za usafi wake

Ulimi ni kiungo muhimu sana katika mdomo wako, lakini mara nyingi husahaulika katika usafi wa kila siku wa kinywa. Kusafisha ulimi ni hatua muhimu ambayo inapaswa kujumuishwa katika ratiba yako ya usafi wa kinywa.   Hebu tuchunguze kwa undani umuhimu wa kusafisha ulimi, kwani kuna magonjwa ya kinywa yanayoweza kugundulika kupitia ulimi hivyo kuuzingatia ni

Fahamu madhara ya kutosafisha ulimi wako mara kwa mara na njia bora za usafi wake #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

My tooth is knocked-out! What can I do?

Dealing with a knocked-out tooth can be a distressing experience, but knowing the right steps to take can make a significant difference in saving the tooth. Here’s what you need to know and do in such a situation.   First aid measures for a knocked-out tooth Imagine this scenario: you’re playing football with friends in

My tooth is knocked-out! What can I do? #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Fahamu kuhusu kansa ya mdomo

Fahamu Usichokijua Kuhusu Kansa ya Mdomo

Kansa ya kinywani ni aina ya ugonjwa wa kansa unaoweza kutokea katika sehemu yoyote ya mdomoni, ikiwa ni pamoja na kwenye lips, ulimi, ufizi, paa ya mdomo (palate), sakafu ya mdomoni (floor of the mouth) au sehemu ya ndani ya mashavu.   Kama magonjwa mengine ya kansa, kansa ya mdomo inaweza kusababisha madhara makubwa ikiwa

Fahamu Usichokijua Kuhusu Kansa ya Mdomo #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Umuhimu wa Afya ya Meno kwa Watu Wenye Matatizo ya Moyo

Afya ya meno ni muhimu kwa kila mtu, lakini ni muhimu zaidi kwa watu wenye matatizo ya moyo, kwa watu wenye magonjwa ya valvu.     Katika makala hii, nitaelezea jinsi magonjwa ya meno kama vile pulpitis, gingivitis, na calculus (kujikusanya kwa mabaki ya chakula) yanavyoweza kuwa hatari kwa watu au wewe kama una matatizo

Umuhimu wa Afya ya Meno kwa Watu Wenye Matatizo ya Moyo #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako?

Afya ya meno ni sehemu muhimu sana ya afya ya mwili kwa ujumla. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayoweza kutokea kinywani ni calculus, yaani ugaga mgumu. Ndiyo! Ugaga uleule unaotokea kwenye kisigino cha mguu unaweza pia kutokea kwenye meno yako!   Calculus ni nini? Calculus, pia hujulikana kama tartar, ni mabaki ya chakula na bakteria yanayojikusanya

Unafahamu Athari za “Ugaga Mgumu” Kinywani Mwako? #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako

Habari yako? Leo tutajifunza jambo jipya, lenye ukakasi kidogo, kuhusu afya yako ya kinywa: Athari za ngono ya mdomo kwenye kinywa.   Ingawa mada hii, mara nyingi, huepukwa kujadiliwa kwa uwazi katika mazungumzo ya umma au hata kikawaida kati ya marafiki na hata wapenzi, ni muhimu kuijadili kwa ukweli na heshima.   Kuelewa hatari zinazoweza

Athari za ngono ya mdomo kwa afya ya kinywa chako #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

Did you know that teeth may fail to fully erupt into your mouth?

Have you ever gone to the dentist and they tell you – or, a friend or relative – that your teeth are not positioned properly?   That your teeth have not fully appeared or come out of the bone or beyond the gum line?   Well, if not I want to tell you that this

Did you know that teeth may fail to fully erupt into your mouth? #!trpst#trp-gettext data-trpgettextoriginal=7403#!trpen#Read More »#!trpst#/trp-gettext#!trpen#

en_USEN