faida za kutumia mafuta ya samaki

Mafuta ya Samaki: Chanzo, Faida na Matumizi

Kipindi nikiwa mtoto nakumbuka kusistizwa kunywa kijiko cha mafuta ya Samaki, Mama yangu alisisitiza kuwa ni mazuri sana kwa afya. Leo nimekumbuka kipindi hicho na baada ya kusoma masomo yangu ya shahada ya lishe nikagundua faida zilizomo katika mafuta ya samaki. Mafuta ya samaki yana tofauti gani na mafuta ya kawaida? Wengi wetu tukisikia mafuta […]

Mafuta ya Samaki: Chanzo, Faida na Matumizi Read More »