Changamoto 5 Zinazoweza Kupelekea Kushindwa Kupata Mtoto
Naitwa Jackson, nina miaka 35, nimejaribu sana kupata mimba na mchumba wangu kwa miaka miwili sasa bila mafanikio. Mimi na mchumba wangu tulikutana mwaka 2020 na mwaka uliofuata tukaanza kutafuta mtoto lakini ni miaka miwili sasa bila mafanikio, nifanyeje daktari? Majibu na Dr. Ansbert Mutashobya Pole sana bwana Jackson kwa tatizo hilo. Ni jambo […]
Changamoto 5 Zinazoweza Kupelekea Kushindwa Kupata Mtoto Read More »