Kwanini Nashindwa Kupata Ujauzito?
Je, unatamani kushika ujauzito? Au uko kwenye safari ya kushika ujauzito, kupandikiza mtoto (IVF) au kupata mimba kwa njia asilia? Unafahamu kuhusu ubora wa yai (egg quality)? Kuwa na yai lenye ubora unaotakikana (quality egg/sperm) ndio jibu na njia ya mafanikio. Wengi katika safari ya ugumba au kujaribu kushika mimba naturally au kujaribu […]
Kwanini Nashindwa Kupata Ujauzito? Read More »