Unapenda Chipsi Mayai? Fahamu Mambo Haya
Wengi wetu tunapenda kiepe, chipsi zege, ama chipsi mayai. Na tena, kiepe ni love language kwa baadhi ya couples. Chipsi pia hupendwa sana na baadhi ya wagonjwa. Kama umeamua kuchukulia afya yako serious, chipsi ni moja kati ya vyakula unavyopaswa kuviepuka au kubadili namna unavyoiyandaa. Kiufupi chipsi sio hata love language, […]
Unapenda Chipsi Mayai? Fahamu Mambo Haya Read More »