Lishe na Uzito

Sumu Kuvu: Maana, Madhara na Jinsi ya Kuiepuka

Wakati ninaandika makala ya “Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia“, nilizungumzia utumiaji wa nafaka aina ya mahindi na hapo ndipo nikapata wazo la kuandika makala nyingine itakayokusaidia wewe msomaji kufahamu namna ya kuchagua nafaka salama kwa ajili ya utengenezaji wa unga huo wa uji wa lishe.   Kwa […]

Sumu Kuvu: Maana, Madhara na Jinsi ya Kuiepuka Read More »

Nutritional flour

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia

Unga wa lishe, katika jamii yetu, umezoeleka kuwa ni unga ambao unatumiwa na watu kwa ajili ya kupikia uji ambacho ni chakula kinachotumiwa na watu wengi – asubuhi au jioni.   Au kama kutakua na mgonjwa, basi hutengenezewa uji ili aweze kupata chakula kinacholika kwa urahisi hasa kwasababu chakula hichi huwa katika hali ya kimiminika.

Njia 2 za kutengeneza unga wa lishe kwa ajili ya mtoto wako na familia Read More »

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli?

Kuna msemo unasema ‘ukimuelimisha mwanamke, umeelimisha dunia’, Je ni kweli? Mwanamke ana uhusiano gani na afya ya familia?   Mwandishi maarafu wa Marekani, Zig Ziglar, katika kitabu chake cha “See You at the Top” kuna mahala anasema “The best way to love your children is to love their mother”.   Unaisi aliona nini kwa mwanamke?

“Mama, nguzo ya afya ya familia”, ni kweli? Read More »

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini?

Sahani inayofaa ni kitu gani hasa? Hii ni sahani ya mlo ambayo imebuniwa na wataalamu wa lishe kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani. Unaweza kujiuliza inapatikana wapi sahani hii inayofaa! Je, inamaanisha sahani zetu tunazotumia nyumbani hazifai?   Sahani hii ya mlo unaofaa inakupaswa kuitumia pale unapotaka kula mlo wako wa siku ili uhakikishe

Mara ya mwisho kula ‘sahani inayofaa’ ilikua lini? Read More »

5 Ways Highly Processed Foods Kill You Before Your Time

Picture this: you are indulging in a bag of flavored chips or enjoying the sweetness of a candy bar. What you may not realize is that behind the appealing taste of these highly processed junk foods lies a deadly combination of artificial additives, preservatives, and chemicals.   These ingredients are like strangers to the human

5 Ways Highly Processed Foods Kill You Before Your Time Read More »

Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba

Mfungo sio dhana mpya kabisa. Tumekuwa tukifunga kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kidini – wakati wa Kwaresma au Mwezi Mtukufu wa Ramadhani – au kupunguza uzito.   Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na uelewa mpana wa faida za mfungo kutokana na tafiti za kisayansi kuendelea kuonyesha jinsi ambavyo utaratibu wa kufunga husaidia kupunguza uzito na

Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba Read More »

Setting goals for 2024

Njia Pekee 4 Zitakozokusaidia Kufikia Malengo Yako ya Afya ya 2024

Kila mwisho na mwanzo wa mwaka, mamilioni ya watu huweka malengo au maazimio ya mwaka mpya.   Lakini cha ajabu, katika kila watu 100 waliojiwekea malengo au maazimio ya mwaka mpya, watu 23 huachana nayo mara tu baada ya wiki ya kwanza ya mwezi Januari, huku wengine 43 huachana nayo katikati ya mwezi wa pili.

Njia Pekee 4 Zitakozokusaidia Kufikia Malengo Yako ya Afya ya 2024 Read More »

swSW