Je, Sigara Ina Madhara Kwenye Meno Yangu?
Jibu ni NDIYO yenye herufi kubwa! Matumizi ya tumbaku, iwe kwa kuvuta sigara au kutafunwa, yanaweka tishio kubwa katika afya yako ya mdomo. Athari hizi huonekana kwenye meno hadi fizi zako. Unaweza uliza ni athari gani hizo unaweza kupata na ni kwa namna gani hiyo. Basi acha nikueleze zaidi kuwa matumizi ya tumbaku […]
Je, Sigara Ina Madhara Kwenye Meno Yangu? Read More »