Afya ya Kinywa

Trigeminal Neuralgia: Maumivu Makali Zaidi ya Usoni

Ugonjwa wa trigeminal neuralgia ni moja kati ya tatizo la mshipa wa fahamu wa usoni unaojulikana kama “trigeminal nerve”.   Mishipa ya trigeminal ni seti mojawapo muhimu ya mishipa ya fuvu katika kichwa. Mishipa hii huusika na kutoa hisia usoni.   Mshipa mmoja wa trigeminal hukimbilia upande wa kulia wa kichwa, na mwingine unakimbilia kushoto. […]

Trigeminal Neuralgia: Maumivu Makali Zaidi ya Usoni Read More »

Fahamu athari 4 za kung’oa meno yaliyoharibika

Kuna msemo maarufu kwenye jamii zetu usemao “dawa ya jino ni kung’oa!”. Hii dhana ambayo imeshikiliwa na watu wengi, inawezekana hata wewe pia umewahi kuiskia ikizingumzwa mahali.   Umekuwa sio msemo tu, watu wengi huutendea kazi. “Daktari, naomba ulitoe tu jino hili, linaniuma sana”, ni sentesi ambayo nakutana nayo mara kwa mara katika eneo langu

Fahamu athari 4 za kung’oa meno yaliyoharibika Read More »

Dental Fillings and Root Canal Treatment: The Mysteries Explained

These terminologies are often thrown up and about, and you can relate if you have ever had dental pain and had your dentist explain to you that all you required was a dental filling or a root canal treatment.   Let’s first begin with understanding the tooth’s anatomy to better grasp these two concepts.  

Dental Fillings and Root Canal Treatment: The Mysteries Explained Read More »

canker sores

Vidonda vya Mdomoni Hukupa Shida Mara Kwa Mara? Pata Msaada Leo!

Vidonda vya mdomoni, maarufu kama apthous ulcers au canker sores, ni tatizo la kawaida la afya ya mdomo kwani huwakumba watu wengi; inawezekana hata wewe ulishawahi ugua vidonda hivi.   Vidonda vya mdomoni ni vidonda vidogo vinavyotokea kwenye utando laini wa kinywa kama vile ndani ya mashavu, ulimi, au sehemu ya nyuma ya koo.  

Vidonda vya Mdomoni Hukupa Shida Mara Kwa Mara? Pata Msaada Leo! Read More »

Cancrum Oris: Explained

Fahamu Yote Kuhusu Ugonjwa wa “Cancrum Oris”

Ugonjwa wa Cancrum Oris ni nini? Cancrum oris ni maambukizo yanayosambaa haraka na kusababisha uharibifu wa tishu laini, hasa kinywani na uso.   Ugonjwa huu unajulikana kwa kuharibu haraka tishu, kusababisha vidonda vikubwa na kuleta uozo. Kwa kawaida hushambulia sehemu za kinywa chako, lakini unaweza kusambaa kwenye maeneo mengine ya uso, ukisababisha upotevu mkubwa wa

Fahamu Yote Kuhusu Ugonjwa wa “Cancrum Oris” Read More »

Sababu Zinazochangia Meno Yako Kuvunjika Vipisi Vipisi Bila Sababu

Afya ya meno ni sehemu muhimu ya ustawi wako wa jumla. Nguvu na uimara wa meno yako ni muhimu katika kudumisha afya ya kinywa chako.   Hata hivyo, baadhi ya watu wanaweza kukutana na tukio la kutisha la meno kuvunjika vipande vipande, mara nyingi ikisababisha imani kwamba meno yao ni dhaifu kwa asili.    

Sababu Zinazochangia Meno Yako Kuvunjika Vipisi Vipisi Bila Sababu Read More »

Oral health for old folks

Navigating Aging Changes With Your Oral Health

As you gracefully age, the natural processes of your body undergo various changes and oral health is no exception.   The aging process brings about physiological shifts that can significantly influence the state of your oral cavity.   Let’s delve into the impact of the aging process on oral health, encompassing alterations in saliva production,

Navigating Aging Changes With Your Oral Health Read More »

swSW