Huduma za Afya

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula

Nani yuko nyuma ya bidhaa za vyakula za Essie’s? Kwa majina naitwa Ester Mndeme. Mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yenye watoto watatu.   Baba yangu ni fundi seremala aliyejitahidi sana katika kazi za mikono na kufanikiwa kutusomesha mpaka tukafika elimu za juu. Hio ilikuwa ni ndoto yake ambayo ameifanikisha.    Kitaaluma, mimi ni […]

Essie’s Products: Viungo Bora vya Kupikia Chakula Read More »

Mambo Matatu Yanayofanya Wagonjwa Wamuamini Daktari 

Dunia inakwenda kasi sana na mambo yanabadilika, lakini katika taaaluma ya udaktari kuna mambo hayapaswi kubadilika mpaka mwisho wa dunia.   “Heshima ya mgonjwa au ndugu wa mgonjwa kwa daktari”    Ulishawahi kuheshimiwa na mgonjwa au ndugu zake? Ile hisia ya heshima inaweza kukufanya ujione daktari bora kabisa na hata zile shule ulizozisahau zinaanza kurudi zenyewe

Mambo Matatu Yanayofanya Wagonjwa Wamuamini Daktari  Read More »

Nitapata Wapi Sare za Wanafunzi wa Afya na Wafanyakazi wa Hospitali? 

Hivi sikuhizi kuna mtu bado anaagiza China sare za wafanyakazi wa hospitali? Kama bado unaagiza, basi hauna taarifa sahihi za nchi yako!      Tanzania imeendelea kuwa na viwanda vinavyokua kwa kasi sana. Mojawapo ni viwanda vya kutengeneza sare za wafanyakazi wa afya. Hapa hapa Tanzania unapata sare za kutosha kwa designs zozote utakazopendelea.    Zamani

Nitapata Wapi Sare za Wanafunzi wa Afya na Wafanyakazi wa Hospitali?  Read More »

American Stroke Association: Stroke Disease Statement

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association

Asilimia 80 % ya visababishi vya kiharusi vinazuhilika – American Stroke Association   Wanawake nao watajwa.   Taarifa hii imetolewa na taasisi ya utafiti wa ugonjwa wa kiharusi nchini Marekani (American Stroke Association) katika mwongozo wao mpya wa matibabu uliotolewa September mwaka huu 2024. Mara ya mwisho taasisi hii kutoa muongozo wa matibabu ya kiharusi

“Asilimia 80% ya Visababishi vya Kiharusi Vinazuhilika” – American Stroke Association Read More »

Elon Musk's Optimus

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9

Katika habari zilizozua gumzo duniani kwa sasa ni baada ya mitandao mbalimbali duniani kuripoti mpango uliodokezwa na kampuni ya Tesla inayomilikiwa na tajiri namba moja duniani – Elon Musk.    Kampuni hii imegusia mpango wa kutengeneza roboti aitwae Optimus Humanoid – ambaye atakuwa na uwezo wa kubeba mimba miezi 9.   Roboti hii ikikamilika itawafanya

Tesla Wamekuja na Roboti za Kubebea Mimba kwa Miezi 9 Read More »

swSW