Kwanini Uzito Wangu Hauongezeki?
Wakati watu walio wengi wanahangaika kupunguza uzito wao kila siku bila mafanikio, yupo kijana mahali anahangaika kuongeza uzito wake walau ufike kilo 50. Kama jinsi ambavyo uzito wa kupitiliza ni tatizo kiafya, uzito mdogo nao huweza kuwa tatizo kwa afya ya mtu. Uzito mdogo unaweza kupelekea: Mifumo ya mwili kuathiriwa. Mfano mtu mwenye uzito […]
Kwanini Uzito Wangu Hauongezeki? Read More »