Afya

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu

Mnamo July 21, 2022 mtandao wa Centre for Disease Control and Prevention (CDC) nchini Marekani ulitolea ufafanuzi kuhusu maana halisi ya magonjwa sugu.   Ulielezea kwamba, magonjwa sugu ni magonjwa ambayo hukaa mwaka au zaidi na huitaji matibabu endelevu.   Pia huweza kuathiri utendaji wa kawaida wa mtu au vyote kwa pamoja.   Mfano wa […]

Jinsi ya kuishi muda mrefu na ugonjwa sugu Read More »

Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde

Uzee ni lazima uje, hauwezi kuwa kijana maisha yako yote. Kuna muda utafika, utazeeka tu!   Lakini swala la muhimu sio kuzeeka, ni utazeeka vipi? Uzee wako utakuwa wa aina gani? Huzuni, maumivu au furaha?   Makala hii inalenga kukuonesha namna ya kuufanya uzee wako kuwa wa furaha pamoja na changamoto zinazojitokeza ukizeeka.   Mtu

Tambua jinsi ya kujiandaa na kuufurahia uzee wako kila sekunde Read More »

swSW