Nataka Kuacha Kutumia Sukari. Je, Asali ni Mbadala Sahihi?

Sukari ni kiongeza ladha nafuu kwa bei, rahisi kutumia na hupatikana kila mahali na kila wakati. Vyakula na vinywaji vingi vinavyouzwa madukani pia vimeongezewa sukari ili kuboresha ladha yake.   Ikiwa unataka kuepukana na utumiaji wa sukari – hivyo unatafuta mbadala – huenda umeshawahi kujiuliza kama asali ni mbadala sahihi wa sukari na maswali mengine […]

Nataka Kuacha Kutumia Sukari. Je, Asali ni Mbadala Sahihi? Read More »