Malonja Magaluda, MD

Medical Writer | Offering top-notch writing services in the medical, scientific, and academic realms | I share practical insights on weight loss, fasting, nutrition, sleep, productivity and longevity.

5 Ways Highly Processed Foods Kill You Before Your Time

Picture this: you are indulging in a bag of flavored chips or enjoying the sweetness of a candy bar. What you may not realize is that behind the appealing taste of these highly processed junk foods lies a deadly combination of artificial additives, preservatives, and chemicals.   These ingredients are like strangers to the human […]

5 Ways Highly Processed Foods Kill You Before Your Time Read More »

Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba

Mfungo sio dhana mpya kabisa. Tumekuwa tukifunga kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kidini – wakati wa Kwaresma au Mwezi Mtukufu wa Ramadhani – au kupunguza uzito.   Miaka ya hivi karibuni kumekuwepo na uelewa mpana wa faida za mfungo kutokana na tafiti za kisayansi kuendelea kuonyesha jinsi ambavyo utaratibu wa kufunga husaidia kupunguza uzito na

Tambua Namna na Faida za Kufanya Mfungo Tiba Read More »

Setting goals for 2024

Njia Pekee 4 Zitakozokusaidia Kufikia Malengo Yako ya Afya ya 2024

Kila mwisho na mwanzo wa mwaka, mamilioni ya watu huweka malengo au maazimio ya mwaka mpya.   Lakini cha ajabu, katika kila watu 100 waliojiwekea malengo au maazimio ya mwaka mpya, watu 23 huachana nayo mara tu baada ya wiki ya kwanza ya mwezi Januari, huku wengine 43 huachana nayo katikati ya mwezi wa pili.

Njia Pekee 4 Zitakozokusaidia Kufikia Malengo Yako ya Afya ya 2024 Read More »

3 Reasons Why a Plant-based Diet Won’t Save You

Veganism is one of the most extreme diet ideas with a mix of religious beliefs, global politics, scientific dilemmas, and business gains. This might shock you: 90% of all vegans and vegetarians quit their diet. And guess what? They feel better and healthier afterwards. This should not surprise you.     Nutritional confusions The average

3 Reasons Why a Plant-based Diet Won’t Save You Read More »

Mafuta ya Alizeti ni Mazuri kwa Kupikia? Nitajuaje Mafuta Sahihi ya Kupikia?

Mafuta ni mojawapo ya kundi muhimu la vyakula vinavyohitajika mwilini. Mafuta pia ni moja kati ya makundi matatu yanayohitajika kwa wingi mwilini. Makundi mengine ni vyakula vya protini na hamirojo, yaani carbohydrates.   Kwanini mafuta ni muhimu? Kazi ya kwanza kabisa ya mafuta mwilini ni kukupatia nishati joto. Huusaidia mwili kupata joto wakati wa baridi.

Mafuta ya Alizeti ni Mazuri kwa Kupikia? Nitajuaje Mafuta Sahihi ya Kupikia? Read More »

Nine Health Benefits of Ditching Sugar and Processed Carbs

Sugar and highly processed carbs deteriorate every single organ. From your brain to the toe. They facilitate inflammation and insulin resistance, the two important factors associated with most modern diseases.   There is nothing bad with the carbohydrates. We have been enjoying carbs for years until we started processing them to highly-processed carbs and refined

Nine Health Benefits of Ditching Sugar and Processed Carbs Read More »

“Prebiotics na Probiotics” – Mapacha Wanaolinda Mfumo Wako wa Chakula

Chukulia kwamba mfumo wako wa chakula ni shamba, ambapo viumbe – kwa maana ya microrganisms kama bakteria – hufanya kazi kwa pamoja ili kuleta ustawi wa mazao. Prebiotics ni kama mbolea katika ‘shamba’. Wakati probiotics ni kama mbegu au uoto wenye manufaa katika shamba lako. Tukishaelewa huu mfanano turudi katika bailojia ya mfumo wa chakula.

“Prebiotics na Probiotics” – Mapacha Wanaolinda Mfumo Wako wa Chakula Read More »

Mambo 5 Yanayoharibu Afya ya Mfumo wa Chakula na Kupelekea Utumbo Kuvuja

Magonjwa mengi huanzia katika mfumo wa mmeng’enyo wa chakula. Dosari katika mfumo huu hupelekea shida kubwa katika sehemu nyingine za mwili.   Tafiti zinaonyesha kuwa upo muunganiko wa moja kwa moja wa ubongo na mfumo wa chakula, moyo, na hata ngozi pia. Utimamu wa afya yako unaendana na uimara wa afya katika mfumo wako wa

Mambo 5 Yanayoharibu Afya ya Mfumo wa Chakula na Kupelekea Utumbo Kuvuja Read More »

swSW